rais

  1. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais 'Mfalme' Macky Sall wa Senegal ahairisha Uchaguzi Mkuu

    04 February 2024 Dakar, Senegal RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia katika mtihani mkubwa toka ipate uhuru wake. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuijengea Nyumba familia ya mtoto anaeuza ndizi

    Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi kumsaidia Mama yake na wadogo zake 4 na Mwenezi Makonda kwa niaba ya CCM...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Namibia, Hage Geingob afariki Dunia

    Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek. Taarifa ya Makamu wa Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba imeeleza kuwa msiba huo umetokea usiku wa kuamkia leo Februari 4, 2024. Geingob...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

    DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha. https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani

    Huyu raisi amebahatika kupita kwenye vyeo vyote vikubwa vya maamuzi. Amekuwa senator wa Delaware kuanzia 1972 - 2009. 2009 -2016 makamu wa raisi wa Marekani 2021 - present: Rais wa sasa wa Marekani Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani Apewe hongera
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ijengwe Barabara ya lami kutoka Karatu-Meatu-Bariadi na Meatu-Kolandoto-Shinyanga, Mafuta yachukuliwe Tanga utaona mabadiliko makubwa sana

    Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda watachukulia mafuta bandari ya Tanga, Dsm ni mbali na kuna msongamano mkubwa. Pili barabara ya njia 4...
  10. L

    JamiiForums Tanzania VETA wamemtakia Heri ya Kuzaliwa Rais mpaka leo hii tangazo lipo kwenye web yao

    Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais simama ulikomboe Taifa

    Ni mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango vinavyostahili? Serikali naona inachelewa sana kuwaletea wananchi maendeleo. Leo hii watu maji...
  12. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari. Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika. Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, Viwanja vya Chinangali - Dodoma, leo Februari 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024 https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya sheria: wakati Jaji Mkuu akijigamba mbele ya Rais Samia, Wakili Mpale Mpoki hajapata nakala ya hukumu miezi miwili sasa

    Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi achukizwa na tabia ya viongozi kujiuzulu kimya kimya

    Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Kiongozi akitaka kujiuzulu anapaswa kumpa taarifa Boss wake kwanza badala ya kukurupuka kwenda kutangaza kwenye Vyombo vya Habari huku akitoboa siri kuwa hata yeye akiwa Waziri wa Ulinzi aliwahi kumwandikia barua ya kujiuzulu Rais Mstaafu Kikwete...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Baada ya mabomu kulipuka Gongo la Mboto niliwasilisha ujumbe wa kujiuzulu, JK akakataa kujiuzulu kwangu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Ujumbe wa CDF ulikuwa unamlenga zaidi Rais kuliko Wakimbizi aliowazungumza

    Godbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

    Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara. Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
Back
Top Bottom