rais

  1. FDR: Rais Pekee wa Mihula Minne

    Baada ya Rais FDR kuweka rekodi ya kuchaguliwa mihula minne; na kuiongoza Marekani kwa mafanikio makubwa sana, ukazuka mjadala mkubwa kuhusu mihula ya Urais. Ukapelekea mabadiliko ya 22 ya katiba yaliyoweka ukomo wa mihula miwili ya Urais. Franklin D. Roosevelt, anayejulikana kwa kifupi kama...
  2. Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  3. Je, tunashuhudia heshima kwa Rais, au utamaduni wa political sycophancy unaojificha nyuma ya mila na desturi?

    Wasalaam Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake. Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna ubishi. Rais naye ni binadamu, ana majonzi, na ni jambo jema viongozi wenzake kwenda kumfariji. Lakini...
  4. Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  5. Yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  6. N

    Kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. I'm just asking out of curiosity, kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu/mkuu wa mkoa?? Tunaona wabunge wa kuteuliwa ila madiwani wa kuteuliwa hatuna, why?? Au wapo ila mimi ndio kilaza/zumbukuku sijui??
  7. Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  8. UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  9. N

    Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  10. M

    Kazi za Makamu wa Rais ikiwa Rais hayupo ofisini kwa dharura

    Kwa UZI huu nampinga Sheikh Mkuu kwa kusema at Mh Rais akiwa Eda miezi 4 na siku 10 anaweza kufanya kazi muhimu fulanifulani kinyume na Quran 2:234. We can never dilute the Quran Verses. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kazi na majukumu ya Makamu wa Rais...
  11. Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  12. Kukatika kwa umeme kwazua kizaazaa Gambia, raia waandamana nchi nzima, Rais aomba radhi

    Rais wa The Gambia, Adama Barrow, amewaomba wananchi wake kuwa wavumilivu baada ya maandamano makubwa kuibuka mtaani kupinga kero ya kukatika kwa umeme kwa muda mrefu. Katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, wananchi wamekuwa wakikaa giza totoro na bila umeme kwa hadi saa 48 mfululizo katikati ya...
  13. Rais Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Malkia Elizabeth II

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika Makazi ya Balozi wa Uingereza, Oysterbay, Dar es Salaam. Malkia Elizabeth II...
  14. Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  15. Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  16. Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  17. F

    Tungekuwa tunapambanisha Samuya na Ndegembi ungemchagua nani rais?

    Hoja iko wazi kabisa. Japo ni kizungumkuti sanaa na uchawa, kama wawili hawa wangeweza kupambanishwa, ungemchagua nani kati yao ? Nini sababu ya kumchagua au kutomchagua? Anafaa wapi na katika nini au kwanini hafai kabisa? None of the duo pia inaweza kuwa kigezo. Weka maoni yako tafadhali.
  18. SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  19. Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  20. Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

    Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…