rais

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu ya Rais Samia Sekta ya Ujenzi

    MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI. Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwezi Machi, 2021. Hayo yamesemwa Aprili 5, 2024...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya Ndege Vitano Vimekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madaraja 8 Makubwa Yamekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    MADARAJA 8 MAKUBWA YAMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma. "Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ili kudhibiti rushwa barabarani, trafiki waondoke barabarani, kamera na taa ndio zifanye kazi

    Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari. --- Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uandaliwe mpango kabambe wa kusambaza filamu za utalii zinazofanywa na Rais Samia kote duniani

    Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour. Kuhusu...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona unateuliwa na Rais au Chama halafu Unahamishwa hamishwa jua una sifa hizi

    1. Huna Uwezo wa Kiutendaji 2. Huna Akili 3. Utakuwa unabebwa mno 4. Una God Fathers wanakulinda 5. Mshirikina, Muongo na Mbea 6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa 7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ludewa Press Conference - Miaka Mitatu ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan- Wilayani Ludewa. Mheshimiwa Rais ameendelea kuonekana katika...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  16. vvvv

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na serikali yake yote kwa hili.

    Video inajieleza,hapa nilipo tangu asubuhi umekatika mara 7 na hatimae TV yangu inchi 32 imeungua!!
  18. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
Back
Top Bottom