rais

  1. Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.

    Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.
  2. R

    Rais Paul Kagame: Viongozi wanapokuwa madarakani na hawafanyi jambo sahihi, tunapaswa kuwa na ujasiri wa kusema

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema uongozi bora barani Afrika unahitaji uhalali wa mamlaka katika ngazi ya kitaifa na bara, akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuwajibika kwa namna wanavyotumia madaraka yao. Akizungumza katika mjadala wa jopo kwenye Africa Mindset Reset Forum iliyoandaliwa na...
  3. Rais Samia Azindua Mkakati Sensa 2022

    14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
  4. Nikiwa Rais patajengwa brand new city kwenye fukwe za pangani mfano wa goldcoast australia au miami

    Ukienda pangani ni moja ya sehemu zenye fukwe nzuri sana white sand beach but tatizo lilopo Pangani hakuna uwekezaji pako local sana Pangani pakiwekezwa na pakijengwa mfano wa goldcoast australia ua miami florida basi utakua ni mji mzuri sana na moja ya sehemu ambayo itavutia watalii wengi...
  5. Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

    My Take Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange. Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DdPdRE-jKuC/?stkn=MXVlaW5mdDBqcjRrNg==
  6. L

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  7. M

    Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  8. Wachukua ruhusa na kujilipa per dm kwenda kumfariji rais (mfiwa)?

    Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni !! Msitumie kodi zetu vibaya hivo
  9. Hili taifa ni zito sana aisee, kutoka kuwa na ndoto za kuwa rais hadi kugeuka kuwa mtalaam wa nyota jukwaani 😁

    Denis, what happened bro?😁
  10. Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex Elifuraha
  11. Mnufaika wa mikopo ya asilimia kumi aeleza tija ya utalii wa mikutano kwa wajasiriamali, atuma salamu za pole kwa rais samia

    Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake. Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
  12. Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  13. Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

    Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki...
  14. Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  15. Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

    Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir...
  16. T

    Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

    Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo. Hizi akili zimejaa kimazoea sana. Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta...
  17. Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
  18. Rais wa Zimbabwe atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo. Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026. Tarehe hiyo...
  19. Rais Samia akutanana Amina J. Mohammed Dodoma

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 11 Septemba 2021: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, Ikulu Chamwino, Dodoma. Mazungumzo yalihusu ushirikiano wa UN na Tanzania, maendeleo endelevu, afya ya mama na mtoto, maji safi na...
  20. FDR: Rais Pekee wa Mihula Minne

    Baada ya Rais FDR kuweka rekodi ya kuchaguliwa mihula minne; na kuiongoza Marekani kwa mafanikio makubwa sana, ukazuka mjadala mkubwa kuhusu mihula ya Urais. Ukapelekea mabadiliko ya 22 ya katiba yaliyoweka ukomo wa mihula miwili ya Urais. Franklin D. Roosevelt, anayejulikana kwa kifupi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…