rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Lissu amesema Abdul Halima Ameir (mtoto wa Rais Samia) aliwahi kutaka kumpa rushwa

    Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli? Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika --- Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutapanya mali kwa wageni kwanini Rais asijikite kwenye kuwajengea wananchi wake uwezo?

    Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu. Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu. Kwa kulitambua hili mataifa makubwa yamekuwa na sera kandamizi na kutumia mbinu za kila aina...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tunashindwa kujitosheleza kwa rasilimali zetu kama taifa basi, haina haja ya CCM Kubaki katika kuongoza taifa hili

    Mr Nice Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi akachimbachimba akapata almasi hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2 akatupa jembe lile akaenda mjini kanunua moto car,sasa ni gariii. Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako ukweli nimeona jitihada zako baada...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kuipaisha nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
  14. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na makamu wake washaanza kutofautiana!

    Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu. Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe. Wapambe wao nao vivyo...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kama Hayati Rais John Pombe Magufuli kama Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine.

    Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
  19. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

    Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful? Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilipata mshtuko jana nilipokuwa naangalia habari TBC1 na kuona Makamu wa Rais anaongea jambo kana kwamba hakijui cheo chake

    Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi ili wananchi wengi waweze kumudu. Kipi kilinipa shock? Bidhaa ya gesi ni miongoni mwa bidhaa ziko...
Back
Top Bottom