rais

  1. M

    Misukosuko mikubwa inamkuba, wananchi wanazidi kumchukia. Huyu rais atamaliza 2030?

    Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
  2. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. 🇹🇿🔥

  3. M

    Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  4. UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  5. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  6. Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
  7. ACT Wazalendo ndani ya GNU: Mamlaka ya Makamu wa Kwanza wa Rais na athari kwa siasa za Muungano

    Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara. Mjadala huo...
  8. 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  9. SI KWELI HATIMAE: Dr. Nchimbi Aonekana Ikulu Usiku wa Manane Kumfariji Rais Samia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imefanyika...
  10. T

    Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Ndugu wanabodi naomba mnisaidie hili swali linanitesa sana. Ziliungana nchi mbili yaani Tanganyika iliungana na Zanzibar. Kila moja iliua baadhi ya stahiki zake kisha tukapata Tanzania. Na baada ya hapo tumekuwa na milolongo ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulikiwa bila kuisha yanayohusu...
  11. Rais Donald J.Trump wa Marekani, awataka washirika wake kujiondoa mara moja kwenye mahakama ya ICC.

    Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
  12. M

    Athari za Lagacy ya kisiasa ya Rais Samia kama Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Umebaki muda mfupi kabla ya mahalama haijatoa hukumu kwa ndugu Lissu. Ndugu Lissu anashitakiwa kwa makosa ya uhaini. Si lengo langu kuingilia mahakama na sitofanya hivyo lakini najaribu kuiangalia possibility ya hukumu inayoweza kutokea katika worst case scenario na athari zake kwa Legacy ya...
  13. Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

    Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia. Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
  14. Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  15. Nimeshangazwa sana; Watu wanaosema kuna Rais na serikali Haramu wakisema Hakuna mtoto Haramu

    NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu. Nilieleza kinaga ubaga kwamba Uharamu yaani jambo lisilo halali, kitendo kisicho halali, au matokeo...
  16. Rais Samia: Kukuza Biashara Tanzania-Marekani

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
  17. R

    Ràis Samia atuma Rambirambi kifo cha Mama Fatma Karume.

    Copy and paste Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026. Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla...
  18. Pole kwa Rais Samia Kufuatia Msiba wa Mama Karume

    Mpendwa Mama Samia Shikamoo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wakati mwingine ninapotazama safari yako, najikuta nikijiuliza ni wapi msichana anayekaribia kukata tamaa anaweza kujifunza nguvu, uvumilivu na moyo wa kusimama tena na jibu ninaloliona ni kwako Mama Rais. Hakuna...
  19. Kigwangala: 2015 niliamini ningekuwa rais mzuri wa kizazi chetu

    "Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..." "Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki yangu ya kikatiba nilikuwa na sifa zote lakini pili mimi ni mtu ninayependa kudhubutu.
  20. CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…