Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi.
Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
Mheshimwa Rais.
Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa
1. Vyombo vyako haviaminiki tena
Tangu jeshi la polisi na mamlaka mbalimbali za uchunguzi kukataa/kushindwa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi, kupotea kwa Ben Saa...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili.
UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO
Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu
Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia.
Pia soma...
AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI
Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi
Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali
Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025
Kiwanda...
Friends and Enemies,
Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia,
Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
Rais Samia amini kwa dhati nilikupenda na niliamini kweli umekuja kutufuta machozi baada ya miaka 6 ya hofu na mateso mengi. Ulianza vizuri kufanya upatanisho baada ya mtangulizi wako kuichafua historia nzuri ya taifa letu ukazidi kutufurahisha wapenzi wako baada ya kuja na 4R tukaendelea...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepambwa...
Wakuu,
Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia watanzania majibu wanayo.
Mnapoingia chaka ni kudhani matukio haya yanaathiri tu wananchi wa wachache...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini.
Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi...
Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa!
====
Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
majaji wa mahakama - ???
wakuu wa mikoa - 26
makatibu tawala wa mikoa - 26
wakuu wa wilaya - 139
makatibu tawala wa wilaya - 139
Wakurugenzi watendaji wa...
Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri wanapokezana namba), Connections nzito, Exposure, umoja.
Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki...
Hadithi ya Uongozi na Mamlaka
Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.