rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Bilioni 40.87 Zatumika

    RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

    Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu 3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29. Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  16. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  17. P

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AMEJIPANGA KUWANYOOSHA MAKULUKUTABU

    Je wew ni mwananchi usiye penda Tanzania iliyotulia? Je, una washwa washwa na amani? Huenda ukawa ni makulukutabu. Sasa habari njema ni kwamba, rais SSH ambaye ni amiri jeshi mkuu amejiandaa vilivyo kuwanyoosha makulukutabu. Huenda watu wakachezea kipigo cha mbwa koko.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Unadanganywa!

    Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake! Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

    RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi inaposherehekea miaka 60, Dodoma inanuka damu.” Aliambatanisha na taarifa ya watu watatu waliouawa na kuchomwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…