rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  2. Zack Abdul

    Rais Samia: Air Tanzania kuanza safari Dar – Moscow (Urusi) kuanza Julai 02, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow zitaanza rasmi Julai 02, 2026, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, uwekezaji na utalii kati ya Tanzania na Urusi. Akizungumza katika Jukwaa la...
  3. Zack Abdul

    Rais Samia aziwasilisha fursa kubwa kutoka kwenye sekta tano kwenye jukwaa la kiuchumi Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametaja sekta tano zenye fursa kubwa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi, akizialika kampuni na wawekezaji wa Urusi kutumia mazingira mazuri ya biashara yaliyopo nchini Tanzania. Akizungumza...
  4. Kevzy

    Nampongeza sana Rais Samia kwenda Urusi, nampongeza sana

    Chei chei Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi...
  5. Zack Abdul

    Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

    Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania. 1. Tanzania- Russia Business Forum. 2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...
  6. Zack Abdul

    Ziara ya Rais Samia nchini Urusi na "geopolitical diplomatic shift" ya dunia

    Dr.Zack June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada ya...
  7. Zack Abdul

    Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima RUDN

    NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU CHUO KIKUU CHA URAFIKI WA WATU WA URUSI (RUDN University) JIJINI MOSCOW.
  8. E

    Ziara ya Rais Samia Russia: Tanzania itapata nini katikati ya mashinikizo ya EU, Marekani?

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili. Samia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutembelea nchi hiyo, tangu Hayati Mwalimu Julius Nyerere...
  9. Zack Abdul

    Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026.
  10. Ex Spy

    Shahada za heshima alizotunukiwa Samia Suluhu Hassan tangu awe Rais

    Tangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi: 1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  12. A

    DOKEZO Nadai fidia kutoka Mgodi wa Barrick North Mara toka 2023 bila mafanikio, naomba msaada nipate haki yangu

    Habari ndugu watanzania, Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka 2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na...
  13. Zack Abdul

    Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  14. M

    Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

    Mmoja ya wajumbe?
  15. Pascal Mayalla

    Japo Nyerere na Magufuli Walikataa, Kuingiliwa Uhuru Wetu, Rais Samia Komaa Usikubali Kuingiliwa, Ila Kama Oct.29 Kuna Vifo Vya Makosa, Tuchutame Au?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-nyerere-magufuli-na-somo-la-kulinda-uhuru-wa-taifa-5482646 Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa...
  16. Zack Abdul

    Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
  17. L

    Dunia yasimama na kutulia kwa muda wakati Rais Samia akipokelewa Ikulu na Rais Wa Urussi. Warusi Wasimamisha Kazi zao Kufuatilia Mapokezi Mazito

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali na Mungu ,Usishindane na aliyechaguliwa na Mungu kabla hata hajazaliwa, Usishindane na Mwenye Mungu...
  18. tpaul

    Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
  19. Kevzy

    Namuombea dua Rais Samia arudi salama na aendelee na majukumu yake Kama kawaida

    Chei chei Ukinuna nuna ila hakikisha haujidhulu Dua ni moja kwa moja URUSI.. alipo MAMA SAMIA SULUHU.. namuombea akamilishe salama majukumu yake ya kinnchi na arudi na afike salama Tanzania Sio rahisi kwa anavyoipambania nchi kama hivi binafs namuombea kwa M/Mungu na namshukuru M/Mungu na...
  20. Zack Abdul

    Rais Samia Suluhu Hassan Nchini Urusi

Back
Top Bottom