The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Wale wa PhD zenu mpaka leo hamjajua kwamba hata 'AMANI ni miongoni mwa haki za RAIA?
🫴 Miongoni mwa haki za kwanza za raia ni; kulindwa au kupewa ulinzi na usalama wa yeye kama raia pili na mali zake
🔹️ Ndio maana kukawa na Jeshi la kulinda nchi na mipaka yake na Jeshi la kulinda usalama wa...
Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema...
Hili ndio swali ambalo binafsi najiuliza hasa ikitokea raia wanaandama kwa wingi na kwa amani huku media za kimataifa zikiwa zinafuatilia kwa karibu (zinakusanya ushahidi) kwa njia mbalimbali ikiwemo kutumia picha za satellite .
Mtazamo wangu:
Kwasababu limeshafanyika kosa na kuna juhudi za...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika:
Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?
Watu wameuwawa anasema wauwaji wametoka nje ila katika kauli zake hatoi pole mbaya zaidi watoto wadogo wanafunguliwa...
Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na...
Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.
Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.
Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?
Kwanini Polisi waliiua watu?
Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭
Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:
Hivyo...
Yanii tarehe 9/12 Polisi uwe KMKM uwe Polisi Tanzania usithubutu kuua Mtanganyika hata mmoja lasivyo nawaambia.
Visiwa vitageuzwa majivu
Nimeambiwa, niwaambie hii taarifa maandamano yajayo msithubutu kuua mtanganyika hata mmoja waacheni watu waandamane kwa amani.
Lasivyo mtashangazwa shauri...
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.
Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .
Nikaonyesha...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu
Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita.
Nawasalimia nikiwa na huzuni kubwa sana moyoni kutokana na misiba mingi ya ndugu,jamaa, marafiki na...
Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?.
Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili ni suala la kila askari wa JWTZ sasa mnalinda nini watu wameuwawa na nyinyi mlikuwa mitaani sasa...
Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29
Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama.
Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.