The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Viongozi wa TZ walianzisha mauaji yakiongozwa na serikali. Nimesikia tena wapinzani wa Rwanda wanaendelea kuuwawa kishenzi tu! Mauji imekuwa ni kawaida ya Afrika.
Afrika tuna tunawapigia kelele wanaoshikilia serikali tukiamini wataona aibu. HAPANA! Hawana aibu na hata wakiondoka madarakani bado...
My Take
Rais Mwinyi angesikiliza ule upumbavu wa Wapinzani na kuacha kukodisha visiwa Kwa wawekezaji eti ataambiwa anauza Nchi Leo hii wasingepata maendeleo makubwa sekta ya I ya utalii.
Ukweli ni kwamba sekta ya utalii Tanzania inabebwa na Zanzibar ndio inafuata Serengeti na Ngorongoro kiasi...
Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu.
Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%.
Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
Nilitembelea hospitali kubwa za nchi hii 3, ni katika utaratibu wangu wa sadaka kama tunavoelekezwa katika biblia kwamba dini njema ni ile inayojali wajane, wagonjwa na maskini....
Sasa, sababu ya kuja hapa ni mambo ya hatari ambayo nimekua nikiyaona...aisee ugonjwa wa kansa unakuja kwa kasi...
Raia wawili wa Bangladesh wamenyongwa kisha miili yao kusafirishwa mpaka nchini mwao baada ya kufanya kosa la kufanya mapenzi katika Msikiti huko Maka nchini Saudi Arabia 🇸🇦 ambapo ni kosa na kinyume na sheria za taifa hilo la Kiislam.
Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudi umedai kuwa hawakupewa...
Hivi ni kwa nini kwenye taasisi za umma imekuwa ni tamaduni ya kawaida kuchelewesha kimakusudi huduma fulani kwa raia ili tu kushawishi mazingira ya kutanguliza pesa ili uwahishiwe huduma?
Ni mishahara midogo, tamaa au usimamizi mbovu. Maana unaweza kukamilisha kila kinachohitajika na swala...
Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote.
Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa.
Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa...
Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda.
Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake.
Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza
Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu
Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa.
Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kufanya
kufanya kazi
mbaya
mganga
moshi
mtumishi
raia
sindano
sio
zahanati
Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao?
Campaign za uchaguzi hakuna
Msemaji wa chama hakuna
Uhaini lazima uwepo lakini
Utekaji lazima uwepo lakini
Rushwa lazima iwepo
Haki za binadamu
Ubadhirifu utakuwepo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa.
Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
AMANI HAIPO SAWA.
Kwa mjibu wa Civilian-Coin:
"Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria.
Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata?
Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili...
Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki.
Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.