raha

Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuwa na wake wawili raha sana, nina wake wawili michepuko wanajuana na wanapendana sana

    Hii michepuko yahivi ni irasimishe kabisa niachie huyu mrugaruga niliokuwa nae, ni kama wana chemistry fulani hivi hakuna cha wivu wala nini nikiwa nao nainjoy sana na wala hawana matumizi kiviile Leo nimekutana na mmoja ananiambia rafiki ake ananisalimia nikamtoa afu ishirini akampe na mwenzie...
  2. Hivi kuna faida na raha gani binadamu kumtawala binadamu mwenzie?

    Hiwe kundi moja la kikabila, dini, rangi, dhehebu, chama nk kulitawala lingine haliyakuwa wote ni binadamu Kwa wanyama porini huwa kuna ambao wanakula wenzao ndio maana wanatawaliana kutokana uhai wa mnama mmoja unategemea kifo cha mnyama mwingine. Hali hiyo ni tofauti kwa binadamu ambapo huwa...
  3. K

    Kuhonga Raha sana

    Yaani mwanaume kumhonga mwanamke unaempenda na mtiifu kwako raha mno Unakuta una mwanamke mzuri mtiifu kwako hana mambo mengi. Kumnunulia zawadi au kumpa vitu vizuri kuna raha unapata kama mwanaume Ila kumpa pesa mwanamke jeuri ni sawa na kukabwa kutapeliwa au kuibiwa. Mimi napata raha...
  4. KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu fulani hivi unakita kwenye kinu kwa kishindo. Raha ya mwichi uwe mzito
  5. Tunaopata hizi raha kwenye ndoa hatizidi 20?!!

    Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba. Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa...
  6. T

    Nipe mbinu za kuongeza malingo kwa mtu baki maana hizi raha siwezi pata kwa ndugu yangu bila kuambiwa nimelaaniwa

    Maisha yako mwenyewe – Ndugu yako hawezi kukuishi maisha yako. Muda uliopotea – Muda ukipita, haurudi tena. Amani ya moyo – Huwezi kutegemea ndugu yako akupe amani wakati wote. Mafanikio yako binafsi – Ndugu anaweza kukusaidia, lakini juhudi ni zako. Furaha ya kweli – Furaha ya ndani huanzia...
  7. Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

    Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana. Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
  8. N

    Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7. Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na...
  9. Nipe cha asubuhi ……. karibu tuzogoe 😋

    Kabla ya yote: hivi kuna ubishi kwamba kuchakatana asubuhi au alfajiri ni tamu zaidi kuliko wakati mwingine wowote? Zogo: Leo nimemshwa na mikono ya ba mtu anaminya minya mkia, halafu mchi wake unasoma 5G ameulaza juu ya mkia. Nikajisemea moyoni "umeniwahi maana ningeanza kuamka mimi...
  10. Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  11. Raha ya mwanamke mwembaba kwenye mapenzi

    Anabebeka.
  12. Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

    Happy New Month, Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...
  13. Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

    Njoo ubishe Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na ukamkoleza sex sawa sawa ndio anakuganda na anaacha kuangaika na wanaume tofauti tofauti Kinyume...
  14. Zamani raha hiace Tsh. 3800

    tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
  15. Vitu gani vinavyotupa raha?

    Swali hili lina majibu mengi kwa sababu "raha" inaweza kuwa ya mwili, akili, moyo au roho. Kwa mtazamo wa sayansi, raha hutokea pale ubongo unapotoa kemikali kama dopamini, serotonini, oksitosini na endorphins ambazo hutufanya tuhisi vizuri. Baadhi ya vitu vinavyotupa raha ni: Upendo na...
  16. Raha ya JamiiForums si kushinda hoja... ni kuona watu wakizichapa kwa maneno

    Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi tunaingia, tunasoma mada, halafu tunaanza kufurahia comments. 😄 Mtu mmoja anakuja na takwimu...
  17. Hivi mnafahamu wenzetu wanamaisha ya raha sana unaweza kuishi na jirani wala usimfahamu kuwa ni kiongozi

    Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa. Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo. Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo. Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
  18. Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

    Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu? Au ukasikia utamu lakini huna furaha? For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo Exp...
  19. S

    Raha ya Sex ni usafi

    Wakuu habari zenu? Nashindwa kufurahia mapenzi siku hizi , sijui niseme sina bahati. Nimetongoza mademu zaidi ya watatu, lakini wote wakati WA mechi hutoa harufu mbaya Kwa sasa nimeamua kuwa Single.
  20. R

    JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…