polisi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tarime: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliotaka kumshushia kipigo ajuza

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chondechonde, Wakulima wa Namawala wamechoshwa na Askari Polisi Ifakara na familia ya kambenga

    Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo. Jana askari wawili pamoja na familia ya hiyo walienda mashambani na kunyang'anya mbegu wananchi wakitaka kupanda mashamba yao. Tafrani...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai kuanza kuzichunguza TAKUKURU, DCEA, Polisi, Magereza na Mahakama kesho

    Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Samia: 70% wanalinyooshea kidole jeshi la polisi

    Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili. Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi. Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi, Mahakama, Hospitali ya Taifa Muhimbili zina viashiria vya Uvunjifu wa Maadili

    Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

    Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema. Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare. Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini polisi wanatutesa Sana sisi ndugu zao (raia)

    Habari za mchana ndugu zangu, Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
  9. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakusanya Ushuru wa Maegesho Kariakoo na Posta wakamatwa na Halmashauri

    Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha. Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kutumia polisi sasa mnatumia nguvu kubwa JF bila kujijua mkiitangaza CHADEMA

    Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia. Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema. Basi tambua mnatangaza CHADEMA bila kujua yani mnatufurahisha CCM. Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagera: Polisi waua watu wawili kwa risasi, ni wanaodhaniwa kuwa majambazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja aina ya AK47 ikiwa na magazine moja yenye risasi 25 na mabomu mawili ya kutupwa kwa mkono. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita: Tutafakari Polisi yetu

    Amani iwe kwenu nyote. Wiki ya pili sasa ninawaza na kuwazua kuhhsu jeshi letu tukuka la usalama wa raia na mali zao yaani jeshi la Polisi. Ifike mahala kama kuna watu katika jamii ambao wanahitaji kuombewa msamaha na wenyewe kujirekebisha ni jeshi la polisi hususan watendaji wake wengi. Kwa...
  16. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  17. Mtu_imara

    JamiiForums Tanzania Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?

    Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?
  18. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  19. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  20. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhalifu umezidi sana mji wa Tunduma, Serikali iingilie kati

    Wapendwa habari za Jioni? Bila kupoteza muda, Mji huu wa Tunduma ni mpakani mwa Tanzania na Zambia. Sasa lengo la Uzi huu ni kuiomba Serikali yetu pendwa ya Mama Dkt.Samia Suluhu Hassani, kuwa kupitia vyombo vya Ulinzi na Usalama watusaidie, Mambo yenyewe yako hivi. Watu wanatekwa na kupigwa...
Back
Top Bottom