polisi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea Polisi wakiruhusu Maandamano ya CHADEMA?

    Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ? Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia . Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
  5. JamiiForums Tanzania Pwani: Polisi wakamata noti bandia za milioni 13

    Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limekamata noti za fedha zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 13 za bandia pamoja na Mtambo wa kutengeneza pesa hizo Maeneo ya Goba jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya noti hizo zilishaanza kutumika mitaani ikiwemo Msata, Chalinze Mkoani Pwani Tukio hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Zitahamu sheria zako za msingi ukikutana na polisi usinyanyaswe fanya haya uwapo mikononi mwa polisi

    1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako...
  7. JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanganyika wanaogopa maandamano: Virungu vya polisi ni vikali

    Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo. Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe. Mwaka 2018, Bwana Mbowe aliitisha maandamano lakini akaambulia patupu. Hakuna mtanganyika aliyejitokeza. Baadaye dada uchwara wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuendelea kuimarisha Ulinzi Kwa kutoa vitendea kazi Kwa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo Januari 12, 2024 wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  11. JamiiForums Tanzania Jumla ya Askari Polisi 15 watunukiwa Vyeti vya Heshima Mkoani Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Tarimo Akabidhi Pikipiki Nne kwa Jeshi la Polisi

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa kukabidhi Pikipiki nne ili kuongeza urahisi wa kusimamia ulinzi na usalama . Akikabidhi Pikipiki...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  14. JamiiForums Tanzania IGP hili la kifo Bariadi wahusika wawajibike, tukatae vifo vya kufia polisi

    Kufuatia kifo cha Limbu Kazilo (41), Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, familia yake imegoma kuuzika mwili wa ndugu yao huyo wakidai kuna mazingira ya utata kwenye kifo chake na hivyo wanataka kujua chanzo. Mama mzazi wa marehemu, Nyahoga Nandi amesema mwanaye...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake. Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wamiliki wa Shule watakiwa kuhakikisha 'School Buses' zikakaguliwa na Polisi kabla ya kubeba Wanafunzi

    Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Mrakibu wa Polisi SP Hussein Gawile amewataka wamiliki wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kuhakikisha magari yao (School Buses) yanakaguliwa na wakaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi kabla ya kuanza kufanya kazi ya kubeba wanafunzi. Rai...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Asanteni Jeshi la Polisi Wanawake Mkoa wa Manyara

    Pongezi nyingi ziwafikie Polisi wote wanawake Mkoa wa Manyara. Mmefanya jambo la utu. Kuwemo kwenye magwanda ya kijeshi hakujawaondolea moyo wa huruma. Asanteni sana. Nimeguswa mno na hilo mlilomfanyia huyo mama mjane. Najua mliwashirikisha askari wa vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama...
  19. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…