polisi

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wazidi kusambaza polisi Gaza na kuanza kugawa mishahara.

    Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii. Afisa mmoja wa Hamas aliliambia shirika la habari la AFP kuwa...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavalishwe kamera za mwilini (bodycam) kufuatilia nyendo zao

    Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Yote ni majeshi, lakini Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ni linatumika Zanzibar pekee na Polisi linafanya kazi pande zote za Muungano. Kwa uelewa wangu, JKU ni kama ilivyo JWTZ. Japo JWTZ na POLISI yote ni majeshi, lakini kwa mtazamo wa watu wengi, hasa Watanyika(sijui Sheria inasemaje katika...
  4. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

    Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe. Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika. MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI. Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahuzunisha sana !Sijui ni ubaguzi au nini? Ipo hivi, Kuna kijana yupo zanzibar, kwa muda sasa. Jumapili aligongwa na gari akiwa pembeni ya Barabara, baada ya kumshusha mkewe kwenye kibaiskel chake abaki kibandani, ili yeye akafuate mzigo wa kuongeza kitandani chake. Madhara aliyoyapata...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa kupotea Kwa Baba na Mtoto Mkoani Geita

    Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 31,2024 msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamshna...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi yasema Muinjilisti aliyezuia Watoto kwenda shule bado anashikiliwa na hajapigwa na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living aliyeshikiliwa kwa tuhuma za kuwashawishi Wazazi kutowapeleka Watoto shule kwa kile alichodai Yesu anakaribia kurudi. Wiki moja iliyopita, Mkuu wa Wilaya ya...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Polisi ibadilike kabla muhula haujawadia

    Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  10. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakuu wa vituo Polisi, OCD, RPC ndio wanaoongoza kunyima haki za watu pindi linapokuja suala la uchunguzi

    Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi! Mtu...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Polisi watambua waliotoa huduma bora kwa Wananchi Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo. Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya ‘Police Day’ leo Januari 26...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Hamas waanza kazi zao jijini Gaza. Wapita masokoni kudhibiti mfumuko wa bei

    Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi. Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni...
  14. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara: Trafiki akamatwa na Polisi akisafirisha Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi. Taarifa ya Polisi Manyara...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa wafanyabiashara waliopotea waiangukia Polisi

    Ndugu wa wafanyabiashara wawili wa mbao waliopotea mwaka jana, wameliangukia Jeshi la Polisi nchini, wakitaka liwasaidie kuwatafuta ndugu zao. Familia hiyo imesema kuwa imewatafuta ndugu zao hao bila mafanikio, hivyo inaliomba jeshi hilo kuwasaidia kufanya hivyo. Wafanyabiashara hao wa mbao...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rukwa na Morogoro polisi wamelala

    Report ya utapeli mitandaoni iliyotolewa na TCRA inaonyesha Rukwa na Morogoro wana matapeli wengi sana wa mitandaoni. Inakuaje mkoa ambao una watu wachache kuliko DSM unakua na matapeli wengi namna hio, na sio mara ya kwanza kumekua na report hata za nyuma zinaonyesha matapeli ni wengi sana...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
Back
Top Bottom