polisi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyeimba ‘Yesu ninyandue’ akamatwa na Polisi

    PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of Police from Kapsoya Police Station have arrested and detained Gospel artiste William Getumbe over...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Polisi nchini ni waongo na wauaji

    Hii sio taarifa ya tukio bali ni tathmini ya utendaji wa jeshi letu la Polisi katika kukiuka haki za wananchi wa Tanzania, binadamu walioapa kuwalinda. Hivi karibuni huko Kibaha kumetokea tukio la mtu kuuwawa kwa risasi, na mwili wake "kuokotwa" na wananchi. Ndugu wa mtu alieuwawa wanasema mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana. Nimeshangaa kusikia...
  4. JamiiForums Tanzania Kondomu zilizotumika zakithiri stendi ya Same, polisi waamrishwa kufanya doria usiku kuwakamata wanaotumia stendi vibaya

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo kuanza doria nyakati za usiku katika stendi ya mabasi Same mjini, ili kuwabaini na kuwakamata wanaotumia stendi hiyo kufanya mambo yasiyo na maadili. Amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilitumia eneo hilo la...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro: Kuna ongezeko la Wanafunzi wanaobakana na kulawitiana

    JESHI la Polisi mkoani Morogoro limesema kuna ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyohusisha wanafunzi wenye umri chini ya miaka 18 wanaotendana ukatili huo wanapokuwa shuleni. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapo wakati alipochangia mada...
  6. JamiiForums Tanzania Best picture Womens Day, safi sana Polisi wanawake: chagua umpendaye!

    Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa. Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
  7. JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti. Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya. Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo. Huyu Saba Sita...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

    Habari wana JF, Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli wenyewe unafanywa na jamaa wauza juice ya miwa mitaa ya karume mbele ya TBL (Tanzania Breweries...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Barabarani yakabidhi magari na pikipiki kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya

    Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama. Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

  11. JamiiForums Tanzania Polisi katika hili suala la namba 3D ni onevu bila ya kupepesa

    Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi! Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Lindi wadaiwa kumlinda askari anayeshukiwa kumbaka binti wa miaka 13

    Polisi wametakiwa kumsaka na kumkamata askari anayedaiwa kumbaka msichana wa miaka 13 ili kuondoa hisia kwamba wanajaribu kuificha kashfa hiyo na kumkingia kifua afisa wao huyo. Askari huyo aliyefahamika kwa jina la Madushi Mhogota Ng’wala, aliyekuwa akifanya kazi katika dawati la jinsia la...
  14. JamiiForums Tanzania Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  17. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  18. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tato waunga mkono jeshi la polisi usalama kwa watalii

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
  20. JamiiForums Tanzania Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…