February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbuga zilizopo nchini...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limeanza kuyafanyia kazi maelekezo ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo aliyeagiza watu wanaosambaza mitandaoni video za ubovu wa barabara za kwenye hifadhi kukamatwa
Polisi imemtaka Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kutoingilia suala hilo. Mrisho Gambo...
Mh Rais wewe kama Amiri Jeshi Mkuu huu ndio wakati kulifanyia mabadiliko Jeshi la Polisi. Liwe jeshi la kisasa ambalo lina askari wenye weledi na maadili.
Fanya mabadiliko liwe Jeshi la kulinda raia na mali zao na sio jeshi la kulinda watawala (legacy iliyoachwa na wakoloni).
Fanya mabadiliko...
Habari ndugu zangu,
Nishaibiwa zaidi ya mara tatu kwenye uwizi wa majumbani na kutapeliwa lakini hili limeniuma la kuvunjiwa na kuibiwa vitu vingi.
Kwa uchunguzi wa awali nimegundua anaweza akawa mtu anaenifahamu. Nataka nitumie njia yoyote ile halali na haramu asili na ya kisasa nimpate hutu...
Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.
Nimewasikia waendesha mashitaka hao wakieleza kuwa upande wa mashitaka hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo na hivyo wamekubali kuwa mazungumzo ya upande wa mashitaka na mtuhumiwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.
Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu...
Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi.
Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa.
Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.
Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
Tumeshuhudia mara kadhaa mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, hususan ya Chadema, ikizuiwa na Polisi, kwa maelezo kuwa kwa taarifa zao "walizozinusa" mikutano hiyo italeta machafuko na hivyo kusababisha hatari ya maafa.
Hata hivyo, mtumishi wa Mungu, anayejiita Mtume Boniface Mwamposa...
NAAMINI BADO WOTE TUNAAMINI MUNGU TUNAPOWEZA KUITA VIBANDA DINI NAWAZA YAFUATAYO
1))NANI ALIERUHUSU USAJILI WA HII VIBANDA DINI
2))KWENYE MKUTANO WA SIASA SIKUZOTE TUNAONA GARI ZA WAH NDUGU ZETU POLISI JE SHIDA IKO WAPI WASIONEAKNE KWENYE HIO MIKUTANO
3))NANI ALIETOA KIBALIA CHA KONGAMANO LA...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limemtaka mtume Boniface Mwamposa kujisalimisha mwenyewe polisi kwa mahojiano kutokana na vifo vya watu 20 vilivyotokea mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro jana usiku Jumamosi Februari Mosi, 2020.
Watu hao walifariki usiku wakati waliposhiriki kongamano la kidini...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni.
Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
Nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Kumbuka Wizara yako ndio Wizara inyohusika na kusimamia haki za msingi za maisha ya Watanzania ya kila siku. Pia ndio Wizara inayowajibika kusimamia usalama wa Wananchi na Mali zao.
Hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi dhidi...
Handeni. Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Handeni Mkoa wa Tanga akidaiwa kufanya ziara bila kupewa kibali.
Profesa Lipumba amekamatwa leo Jumapili Januari 26, 2020 Kijiji cha Segera wilayani Handeni na...
Wadau wa JF poleni na pilika zetu hizi za kila siku,
Hivi karibuni limetokea tukio la kuibwa mtoto wa miaka miwili ktk mji mdogo wa Kiomboi wilayani Iramba. Tukio hili lilitokea eneo la Soweto lenye watu wengi mjini hapo.
Aliyemuiba mtoto ni jirani ambaye ni mstaafu serikalini. Baada ya...
Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii...
Kitabu cha Guiness cha Rekodi za Dunia ambacho huchapishwa kila mwaka kikibeba rekodi za mafanikio ya juu kabisa ya binadamu katika nyanja mbalimbali na maajabu ya asili(Guinness World Book of Records) kimemtangaza Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye kuwa ndie mtu aliyeweka rekodi...
Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha Lake Natron(east) wilayani Longido wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kukaidi agizo la Serikali kuondoka wa hiari katika kitalu hicho.
Wafanyakazi hao wamekamatwa na polisi leo Jumatano Januari 22, 2020...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.
--+
MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.