polisi

  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Polisi wanaendelea kumfuatilia Tundu Lissu ili kumuhoji kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwake ila bado hawajampata

    Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wapelelezi wanamfatilia Tundu Lissu ili waweze kumuhoji kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwake na bado hawajampata lakini kwa sababu amerudi nchini sasa tutampata. Sirro ameongea hayo na mtangazaji wa ITV Fahma Middie katika kipindi cha Dakika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

    Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita...
  3. JamiiForums Tanzania Hili na polisi na tume kupiga kura siku moja kabla litaleta machafuko, kwanini wasipige kura siku ya uchaguzi

    Naona kama vile amani ya kweli ccm na serikali wameichoka wanatafuta machafuko na vita vya ndani. Ivi kura za kupigwa siku mbili tena vikianza vyombo vya ulinzi wana lengo gani? 1. Kujua imani ya jeshi na tume wako mlengo gani? 2. Kuchakachua kura kwa kisingizio kuwa za jana zilikuwa nyingi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watendaji wa ZEC na Polisi kupiga kura Oktoba 27 badala ya Oktoba 28

    Mwenyekiti wa ZEC jaji mstaafu Mahmoud ametangaza uchaguzi wa Zanzibar wa Rais, wawakilishi na madiwani kufanyika tarehe 27 na 28 Oktoba,2020. Tarehe 27 Oktoba ni maalumu kwa watendaji wa tume, wajumbe wa tume na Polisi ambao watakuwa zamu siku ya tarehe ya uchaguzi. Tarehe 28 itakuwa uchaguzi...
  5. JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani. Source East Africa Radio! Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania Kigoma: Askari Polisi wamepigwa mawe na Wananchi

    Polisi Mkoani Kigoma wamelazimika kutumia mabomu ya machozi pamoja na kupiga risasi hewani kutawanya Wananchi wenye hasira ambao wamevamia nyumba ya mkazi wa Mtaa wa Yusuph Kata ya Mwanga Kusini, Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuharibu milango na madirisha kwa kutumia mawe. Katika vurugu hizo...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu. Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana. Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
  9. JamiiForums Tanzania Lema: Ukimya wa Polisi kwenye mapokezi ya Lisu ni Chroloquine iliyopakwa sukari, kuna jambo linafikiriwa

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini. Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu, wananchi wamelithibitishia Jeshi lao la Polisi kuwa wao ni watu wa amani na utulivu

    Hatimaye shujaa wa Taifa hili, Tundu Lissu amewasili nyumbani Tanzania akiwa mzima wa afya, baada ya kutokuwepo hapa nchini kwa takribani miaka 3, akiwa nje ya nchi kwa matibabu ya majeraha makubwa sana aliyoyapata, takribani miaka 3 iliyopita, baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 16...
  11. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  12. JamiiForums Tanzania Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
  14. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu: Jeshi la Polisi na Viongozi wa CHADEMA wana wajibu wa kutunza utulivu

    MAPOKEZI YA TUNDU LISSU: JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA CHADEMA WANA WAJIBU WA KUTUNZA UTULIVU Tarehe 6 Novemba 2005 nilirejea nchini na British Airways kutokea Heathrow, London, Uingereza nikiwa na mke wangu na mtoto wetu wa kiume baada ya kuishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa. Huku Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Shikamoo Polisi, kwa hiyo siku anayokuja Tundu Lissu tusiende kupokea wageni wetu?

    Lamgambo limelia jamani, wamesikia wa ng'ambo, mwenye kukosa mtoto ama lieleke jiwe. Aliimba hayati Captain John Komba. Tumesikia ngurumo na mipasuko ya radi kutoka mbali, kuwa shujaa wa Taifa yu aja. Hii ni baada ya kukaa nje ya nchi kwa miaka mitatu. Aliondoka katika Hali ya ufu, anarudi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utii wa sheria: Aomba kibali polisi akampokee mgeni Ubungo Bus Terminal

    Kufuatia press release ya polisi kuwataka CHADEMA kuwa na kibali cha kumpokea mgeni wao, wananchi wameamka na kuanza kuitekeleza amri hiyo Hii hapa chini ni nakala ya barua ya mwananchi fulani kwenda kwa polisi (nimechukua sehemu chache ili kutunza usiri wa mhusika)
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama watu walikusanyika uwanja wa ndege kupokea ndege na halikuwa kosa, kwanini kumpokea Lissu uwanja wa ndege ndio iwe nongwa?

    Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili? Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao? Ndio maana kila...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  19. JamiiForums Tanzania TANROADS, Polisi hela ya faini hamuioni?

    Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa. Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali. Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro jirani na kituo cha Polisi Urafiki, mbele ya ofisi za Shabiby Line, vitakuja kusababisha ajali

    Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani. Mwanzo sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…