polisi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu! Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
  2. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, Tafadhali usiligeuze jeshi la polisi kama mob

    Kamanda Sirro, kuna clip inatrend kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha jeshi lako la polisi likivamia mkutano halali kabisa wa chama cha ACT wazalendo. Mkutano wao huo wa amani na wa ndani ulikuwa ungali ukiendelea huku wananchi wakiwa wanaimba nyimbo kumkaribisha kiongozi wao wa chama...
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama #hatuwezikurudinyuma.
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha jeshi la Polisi kukamata wapinzani kwa kuwadhalilisha na kuacha chama tawala na mawakala wao wakitamalaki ni cha kipuuzi!

    Jeshi la Polisi linafanya upuuzi kukamata viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani na kuacha wale wa chama tawala na mawakala wao. Kitendo hiki kinadhihirisha jinsi vyombo vya dola vinavyotumika kwa maslahi ya kuhakikisha chama tawala kinapata kwa ukamilifu kile kinachokitaka kwa nguvu. Kwenye...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lakamata watuhumiwa wa tukio la mauaji, akiwemo Polisi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

    Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya. --- Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limekuwa dhaifu kulinda wachochezi

    Mchungaji Msigwa alipata kusikika akitoa kauli nzito ambazo zingeweza kulimega taifa vipande vipande na hata kusababisha maandamano makubwa katika nchi yetu kama yele yaliyofanyika kule Marekani kwa kupigwa na kufariki dunia kwa Geoge Floyd. Msigwa alipata kusikika kupitia mitandao ya kijamii...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yashikilia wawili kwa madai ya kuhujumu mradi Ziwa Victoria

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limewatia mbaroni watu wawili kwa tuhuma za kuhujumu miradi ya maji ukiwamo wa Ziwa Victoria kwenda mkoani humo katika operesheni iliyofanywa na jeshi hilo. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, alitaja...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Polisi afukuzwa kazi kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Jeshi la polisi limemfukuza kazi askari wake mwenye namba E 8905 Koplo, Anthony Francis wa Kituo cha Polisi Kisarawe aliyekamatwa akisafirisha dawa za kulevya aina ya bangi. Fracis alikutwa akisafirisha dawa hizo kiasi cha kilogramu 76 katika eneo la Nanenane, Manispaa ya Morogoro ...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kituo cha Polisi Masasi, baadhi ya Askari wamekithiri kwa rushwa

    Maaskari katika kituo hiki wanafanya kazi vizuri ila wachache wamekithiri rushwa! Waonye asikari hao! Nikiwa kwenye daladala naenda Tunduru! Tulikaa na mama mmoja; yule mama alipigiwa simu na asikari wa kituo hicho akimwambia apeleke 70,000 kama sivyo kesi itapelekwa mahakamani, yule nimekaa...
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania Yanayowapata wapinzani nchini Tanzania mikononi mwa Polisi hayana tofauti na yanayowapata weusi nchini Marekani isipokuwa hili moja!

    Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza: “This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police. I noticed the police car...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Trump atoa agizo la kuchukuliwa hatua dhidi ya ukatili unaofanywa na Polisi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesaini amri ya rais kuhusu utendaji wa polisi, na kutoa agizo la kuchukua hatua dhidi ya ukatili wa polisi na ubaguzi wa rangi. Hatua hiyo imekuja wiki tatu baada ya kifo cha George Floyd, raia mweusi wa Marekani wenye umri wa miaka 46, ambacho kimesababisha...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Anayedaiwa kumuua na kumfukia mkewe mikononi mwa polisi

    Jeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio. Mwili wa marehemu Bi...
  14. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

    Habari za siku nyingi JF Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu Kwa sasa hali imebadilika sana...
  15. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Njemba ajisalimisha polisi akiwa uchi kwa kumuogopa mjeshi baada ya kumfumania na mkewe

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa hana nguo baada ya kukimbia kutoka kwenye fumanizi nyumbani kwa mke wa Mwanajeshi. Imeelezwa kuwa mume wa mwanamke huyo ambaye ni Mwanajeshi alirudi ghafla nyumbani bila taarifa na kumkuta mkewe na...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

    Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini? Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM! Wapo kula Rushwa!! Wapo kutekeleza Mauaji!!! Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!! Polisi wanakodisha waarifu silaha!!! Polisi wanawarubuni wake za watu...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

    Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo. Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela

    Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti...
Back
Top Bottom