polisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
  2. N

    JamiiForums Tanzania This is too much! Unyanyasaji huu wa kituo cha Polisi Murieti

    Ndugu wanajamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mida ya saa 10 jioni hii katika eneo la Uswahilini hapa Arusha (Mjini), maaskari wa kituo cha Murieti wamemkamata mke wangu nakumpeleka kituoni kisa nyumba tunayoishi haina matundu yakutosha ya vyoo. Ukweli uliopo: 1. Nyumba hii huyu...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Andre Stander, Polisi aliyeziibia benki na kusimamia kesi hizo kama mpelelezi

    Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30 Stander alikuwa Nahodha wa Kitengo cha Upelelezi wa Jinai Johannesburg mwaka 1977 ambao ndio mwaka...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

    Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi. Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanga: DC aagiza polisi kukomesha ukahaba

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma mara moja Jijini humo. DC Mganndilwa alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha cha baraza la madiwani wa halamashauri ya jiji la Tanga ambapo aliyataja...
  7. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

    Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  9. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Polisi yawataka madereva bodaboda Arusha kuwafichua wahalifu

    Mwandishi wetu, Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ili kutenda haki na kutobambikia watu kesi, Mzee Kamara Kusupa apendekeza polisi wapunguziwe majukumu

    Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini. 1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe walimaanisha chotara? Baba mzungu na mama Mtanzania, Rangi ya kizungu ila nywele za kipilipili. 2...
  11. manchoso

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Polisi imeahirishwa?

    TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa]...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

  14. La Quica

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

    Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

    Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
  19. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kuwahi kwenye matukio

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane. Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
Back
Top Bottom