polisi

  1. JamiiForums Tanzania Tanga: DC aagiza polisi kukomesha ukahaba

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma mara moja Jijini humo. DC Mganndilwa alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha cha baraza la madiwani wa halamashauri ya jiji la Tanga ambapo aliyataja...
  2. JamiiForums Tanzania Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

    Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
  3. JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi yawataka madereva bodaboda Arusha kuwafichua wahalifu

    Mwandishi wetu, Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Ili kutenda haki na kutobambikia watu kesi, Mzee Kamara Kusupa apendekeza polisi wapunguziwe majukumu

    Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini. 1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe walimaanisha chotara? Baba mzungu na mama Mtanzania, Rangi ya kizungu ila nywele za kipilipili. 2...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Polisi imeahirishwa?

    TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa]...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

  9. JamiiForums Tanzania Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  10. JamiiForums Tanzania Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

    Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

    Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
  12. JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
  14. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kuwahi kwenye matukio

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane. Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
  16. JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi jamii kukamata vyombo vya Moto na kubambikiza watu kazi

    Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria. Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wanapomshikilia mtu wanakimbilia kwenye simu na Laptop yake?

    Amani iwe nanyi Waungwana! Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…