Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi.
Uwazi wangu...
Mwandishi wetu,
Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini.
1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe walimaanisha chotara? Baba mzungu na mama Mtanzania, Rangi ya kizungu ila nywele za kipilipili.
2...
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa]...
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
Habari!
Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe.
Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake.
Hivi kwa...
Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi.
Kuleta amani ni kazi ya jamii.
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane.
Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote.
Sharti hilo limetajwa leo...
Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa.
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado...
Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo
Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria.
Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na...
Amani iwe nanyi Waungwana!
Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
Wanabodi
Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai.
Muhtasari wa habari.
Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi.
Polisi walimshusha dereva...
Ni wazi kabisa sasa polis wamechukua nafasi ya CCM kushindana na vyama vya upinzani. Huku CCM ikiwa mtazamaji napengine kuwapo kama haipo.
Tofauti ndogo nikwamba polis wanamiliki siraha na mahabusu hivyo washindani wao wanakiona cha mtema kuni.
Ukiangalia kwa makini hawa polis na pengine hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.