Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Mecco mkoani Mwanza.
Kwenye tukio hilo lililotokea Jumanne Januari 18, 2022 mfanyabiashara, Mary Charles (42), mtoto wake, Jenifa...