polisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine Watatu wasadikiwa kupotea mikononi mwa Polisi

    Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi. My take: Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
  3. babu M

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Manchester United anashikiliwa na polisi kwa kudaiwa kubaka na kumpiga girlfriend wake

    Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga. Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi baada ya picha na video zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao zilizopostiwa na mwanamke zikiripoti...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  7. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi force Tz: Fahamu taratibu za mazishi kwa askari . Askari aliyejiua hazikwi kijeshi

    Tuelewane!!! #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/pYpOG00jIv
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Polisi

    Asante Kipanya kwa kuliweka vyema hili. Hii ndio picha Halisi ya police wa CCM
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

    Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga ==== Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kusumbuliwa na polisi kwenye biashara yako? ulipitia tabu zipi na kama uliweza kujinasua uliwezaje?

    Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
  14. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  15. Mzee nazi

    JamiiForums Tanzania Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

    Ndugu wadau, kama kweli jeshi letu la polisi limefanya mambo haya, ninashauri iundwe tume ilichunguze hili jeshi. Na pia hata like la Hamza lilikuwa na mtazamo kama huu, pia lingerudishwa lichunguzwe upya
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Polisi wamelielewa somo la 'Kwani wewe nani?'. Hongera sana Rais Samia

    Leo katika mihangaiko yangu na kigari changu cha zamani nilisimamamishwa na polisi wa usalama barabarani kwa mbwebwe zao. Akaniuliza kulikoni na kama nilikuwa na shida yoyote. Nikamjibu niko sawa. Akaniuliza mbona umewasha taa mchana kweupe hivi. NIikamjibu sikujua kama taa zilikuwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu watano washikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu wa familia moja Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Mecco mkoani Mwanza. Kwenye tukio hilo lililotokea Jumanne Januari 18, 2022 mfanyabiashara, Mary Charles (42), mtoto wake, Jenifa...
  18. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

    Polisi Tanzania haijawahi kuifunga Yanga tangu ipande daraja lakini Yanga pia haijawahi kupata ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania kwenye ligi kuu tangu Polisi wapande daraja msimu wa 2019/20. Je, ni rekodi gani mpya tutaishuhudia leo timu hizi zinapokutana? Mechi ni saa 10:00 jioni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

    Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video? Anataka...
Back
Top Bottom