polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi wakana tuhuma za kuhusika kifo cha Jacob Elias

    Wakati mwili wa Jacob Elias (44) mkazi wa Milanzi Manispaa ya Tabora anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kipigo alichokipata akiwa mahabusu ukizikwa jana Februari 16, 2022, Jeshi la Polisi limekana kuhusika na kifo hicho. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amekana kuhusika kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  3. JamiiForums Tanzania TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Polisi inapodanganya kuhusu sababu za kifo cha mahabusu

  5. JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

    Habari Wakuu, Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022...
  7. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo. Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh...
  10. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wahusishwa matukio ya ukeketaji Mara

    Baadhi ya askari wa polisi wa Kanda Maalum ya Tarime/Rorya wanadaiwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwa kuwalinda watuhumiwa kutokana na ushawishi wa rushwa. Tuhuma hizo zimeibuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, ameeleza kuwa Februari 9, 2022 majira ya saa 19:30 usiku katika...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  13. JamiiForums Tanzania Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa...
  14. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kipengele cha kuwabeba polisi kingepitishwa kada zingine nasi tungefanya yetu

    Kwema Wakuu! Kwanza niipongeze serikali Kwa kufuta huo mswada wa kutaka kuwabeba polisi ati wasishtakiwe wakiwa kwenye majukumu Yao. Ingekuwa muswada wa hovyo kuwahi kutokea. Sisi waalimu nasi tungepeleka muswada bungeni kuwa tusishtakiwe tuwapo kwenye majukumu yetu, tukiwapa adhabu wanafunzi...
  16. JamiiForums Tanzania Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

    Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa. Akitoa taarifa mbele ya Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi amesema kwamba katika Muswada huo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge limejadili muswada wa sheria ambao utampa/ruhusa ya askari polisi kufanya tendo lolote bila ya kushtakiwa endapo itapita

    Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  19. JamiiForums Tanzania Ni polisi tu ndio wanaruhusiwa kusema uhalifu unaongezeka

    Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi. Na huyu rais always anatafuta nafasi ya kuwaweka wanawake kwenye uongozi. Kamanda Sirro anaweza kushughulikia haya matatizo. Watu kuuana...
  20. JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…