polisi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Polisi waepuke wanasiasa, ipo siku jopo la Kibatala mtalihitaji liwatetee

    Nyie ni ndugu zetu tunaoishi nanyi,waepukeni wanasiasa kuwatumia bila PGO, wanawatumikisha kuwaumiza wengine halafu ninyi mnabaki na uadui na jamii huku wao wamepatana. Ushauri wangu mkiona mnatumikishwa kisiasa kwa maslahi yao acheni kazi kwa amani. Mfano mzuri kuna askari wawili walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  3. JamiiForums Tanzania Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

    Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu. Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana. Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

    Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa. Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk. Yote haya ikiwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Huduma ya polisi ku-trace simu ni hisani, kiofisi au bure?

    Kuna hii huduma ya ku trace simu hutolewa na polisi wapelelezi. Kama umepoteza simu au unamtafuta mtu fulani namba yake inakiwa traced kujua yupo wapi. Utaratibu wa utoaji wa hii huduma umekaa kiwizi wizi sana. Hakuna utaratibu rasmi wa kiserikali. Ni kama mradi wa mtu binafsi au wa serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka Baba kwa tuhuma za mauaji ya mwanae

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, Mnyaturu ambaye ni fundi ujenzi, mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wawaita kituoni wananchi walioibiwa masufuria ya 'ubwabwa'

    Wananchi mkoani Njombe wameshauriwa kufika na kutambua mali zilizokamatwa wakati wa doria kutokana na kuibwa nyakati za usiku yakiwemo magodoro, pikipiki, sufuria zinazotumiwa na mama lishe migahawani, mitungi ya gesi, jiko na vingine vingi. Mali hizo nyingi zimekuwa zikiibwa wakati wa usiku...
  9. JamiiForums Tanzania Waporaji wa bodaboda 'Vishandu' wampeleka IGP Sirro ghafla Vituo vya Stakishari, Kawe, Tabata

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro, mapema leo amefanya ukaguzi wa ghafla kwenye Kituo vya Polisi cha Stakishari, Tabata na Kawe jijini Dar es Salaam. IGP Sirro amebaini changamoto ya uhalifu wa uporaji kwa kutumia pikipiki pamoja na makosa ya uvunjaji. “Nimekuwa nikipata...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji! Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa...
  11. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, angalia Polisi wako wa Arusha Wanavyo lazimisha Rushwa kwa Kushirikiana na Mgambo

    TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI KUKAMATWA NA KUPEWA KESI YA MCHONGO ARUSHA. Waandishi wa Habari wawili wa vyombo vya Habari tofauti mmoja Korumba Victor Moshi na Wa Global Tv na Alphonce Kusaga Wa Tripal A Redio wote wa Mkaoni Arusha walikamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha wakiwa wanafatilia...
  12. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Polisi kujihusisha na vitendo vya wizi?

    Serikali yetu kwa sasa imewapa uhuru sana kitengo cha usalama mpaka imefikia wakati wanavuka mipaka na kushirikiana na wezi au na watu wengine watenda maovu. Polisi kama tunavyoelewa ni kulinda raia na mali zao lkn leo imegeuka imekuwa kuonea raia na kunyang'anya mali zao. Imagine Polisi...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
  14. JamiiForums Tanzania jeshi la polisi likimtafuta Makonda

  15. P

    JamiiForums Tanzania Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

    Habarini ndugu zangu, Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao. Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu...
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yaridhia uamuzi wa Polisi aliyepata ujauzito nje ya ndoa kufutwa kazi

    Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana. Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi. Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa...
  17. JamiiForums Tanzania Aina ya Polisi anayehitajika na Watanzania

    Hakika huyu kamanda Mponjoli ndiye aina ya mapolis wanao hitajika hapa nchini. Hana cha kuogopa rangi za chama wala diwani wa chama anacho hitaji ni haki itendeke. Kwa msimamo wa huyu kamanda sijui kama bado yupo au asha staafu. Msikilizeni na mtupatie mrejesho yuko wapi kwa sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

    Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao . Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

    Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort! Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort? Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…