polisi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa, Agosti 12, 2022

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania "Jeshi la Polisi ni "Zimamoto" ya kukamata madereva walevi

    "IMEANDIKWA KWENYE MAGAZETI MENGI YA LEO" Jeshi la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata madereva wasiozingatia sheria za barabarani, wanaotumia vilevi, wakiwa wanaendesha magari pamoja na kuwakamata wamiliki wa magari yasiyokuwa na viakisi mwanga Uamuzi huu wa polisi umekuja ikiwa ni...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wamekamata watu watatu wakisafirisha karatasi za kupigia kura zikiwa tayari zimewekwa alama

    Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa vingine vya uchaguzi Kupitia kwa taarifa, Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro amesema...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

    Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza ukaguzi wa mabasi ya Wanafunzi nchi nzima

    Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni. Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
  10. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mama wa watoto watatu waliotelekezwa Ulanga ajisalimisha Polisi

    Kabla ya habari yenyewe chini huyu mama amerudi kwa sababu amepata habari watoto watajengewa nyumba ya kisasa na watasomeshwa na mzungu mmoja anayechimba madini ya graphite. Ushauri wangu kwa polisi na mahakama msameheni huyu mama alee watoto wake maana mkimfunga mtawazidishia watoto machungu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na hasa Trafiki lifumuliwe na kuundwa upya

    Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja. Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

    Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari. Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Trafiki wengi ilikuwa vijiwe vya kukusanya Rushwa kwa madereva na kuchelewesha safari za watu

    Wakuu, Hivi mnajua huo utrafiki ulikua unatafutwa kwa nguvu sana ikiwamo askari wenyewe kuhonga ili wapangiwe kua trafiki? Hapa ukweli wanaujua vizuri wao wenyewe. Tunapenda ukaguzi barabarani wenye tija lakini kama alivostuka mzee kinana ndio watu wengi hujiuliza kila hatua chache...
  19. chamng'asi

    JamiiForums Tanzania Nimegoma Kuwa Mnyonge Mbele ya Polisi

    Nawasalimu! Tarehe 25/7/2022 nikiwa mizungukoni nilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakaniomba leseni nikatoa kisha wakaikagua gari na kubaini sina dosari kisha nikaruhusiwa kuendelea na safari zangu. Kesho yake tarehe 26/7/2022 nikiwa na familia yangu yaani mke na watoto wawili...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wavamia ofisi zinazoaminika kuwa za William Ruto, Wachukua kompyuta mbili na Seva mbili

    Polisi katika mji Mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na Naibu wa Rais, William Ruto, na kuchukua kompyuta 2 na seva 2 Uvamizi huo unajiri huku kukiwa na mvutano kati ya vikosi vya usalama nchini na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) baada ya mkuu wa tume hiyo...
Back
Top Bottom