pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wataalamu wa pikipiki

    Campuni gani ya pikipiki yenye muundo wa kisasa cc 125 yenye mfumo wa push rod kwenye injini yake badala ya timing chain
  2. A

    KERO Uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki mtaa wa Kibamba Luguruni

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi. Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
  3. M

    Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  4. Pikipiki ipi ni bora zaidi?

    Wakuu nataka ninunue pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi, yaani usafiri binafsi nk. Nataka ninunue pikipiki ambayo itakuwa nzuri hasa katika mazingira ninayoishi ambapo kuna barabara nyingi za vumbi na vilima/miinuko kwa wingi. Naomba ushauri kwa wataalamu na wenye uzoefu wa pikipiki ili...
  5. Kubadilisha Umiliki wa Pikipiki niliyonunua

    Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo. Natanguliza Shukran 🙏
  6. Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

    Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS. Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h...
  7. Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  8. Ada ya usajili wa pikipiki kuongezeka kutoka Shilingi 95,000 hadi Shilingi 150,000

    Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo. Badala ya kodi hiyo, Serikali...
  9. Shida ni Pikipiki au Udereva?

    Wasalaam. Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki. Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
  10. Wapenzi wa Mashindano ya Pikipiki, mnaangaliaga “Isle of Man TT”? Mashindano ya vyombo vya moto ya Hatari zaidi Duniani!

    Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260. Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika...
  11. Kwanini pikipiki hizi used zinauzwa kwa wingi?

    Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa. Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi? Sababu ni nini hasa ukilinganisha na pikipiki nyingine ..
  12. Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  13. Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  14. Kwa bajeti ya milioni 3, Pikipiki gani anafaa kwa maeneo ya milimani?

    Wakuu, Kati ya Sinoray, T-Better, Honda na King lion ni ipi inafaa kwa maeneo ya milimani kwa bajeti ya milioni 3?
  15. C

    Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Sold out
  16. M

    Shigongo: Kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, mfano Pikipiki ya Sh 3m unalipa Sh 6m, huo ni wizi

    “Vita dhidi ya umasikini bado inaendelea, nikasema nitaisaidiaje Serikali kwa kidogo nilichonacho ili niwasaidie wenzangu, kuna vilio kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, unakopeshwa Pikipiki kwa Milioni 3 unalipa Milioni 6, sio sawa, huo ni wizi na kuwaumiza watu.” Hayo ni maneno ya...
  17. S

    SI KWELI Video ya Pikipiki inageuka kuwa ndege ya kivita

  18. Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  19. W

    Pikipiki zenye Kelele na Taa kali zakamatwa Arusha

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kukamata pikipiki zinazokiuka sheria za usalama barabarani, hususan zile zinazotoa kelele za milipuko na zilizofungwa taa zenye mwanga mkali. Hatua hiyo inalenga kuboresha usalama wa usafiri na kupunguza kero kwa watumiaji...
  20. Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

    Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama, Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…