pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kama unaingiza chini ya milioni 1 hata ukipewa gari bure endelea kutumia pikipiki yako au usafiri wa umma

    Hata upewe gari bure, ni vigumu sana kulimudu kama unaingiza chini ya shilingi milioni moja. Gari lina tabia ya ajabu; ukishalizoea unapatwa na kiburi cha kuona aibu kutembea kwa miguu, kuendesha pikipiki, au kupanda usafiri wa umma. Hapo ndipo wengi huingia mtegoni na kujikuta wakilihudumia...
  2. Zack Abdul

    Honda yawekeza Tanzania, yafungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki Dar es Salaam

    Kampuni ya Honda imefungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki eneo la Ubungo, Dar es Salaam, hatua inayolenga kuongeza ajira kwa vijana, kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Kiwanda hicho kitaunganisha pikipiki kwa kutumia vipuri vinavyoagizwa kutoka nje, hatua...
  3. A

    DOKEZO Kofia nyingi za Pikipiki zimeingia sokoni hazina ubora, hiyo ni hatari sana kwa watumiaji

    Tatizo la kofia za pikipiki ya Boxer asee ni kubwa Hazina uimara zinaharibika haraka sana Nyepesi mno mikanda inayoshikilia imefungwa vibaya na vishikizo vyake haviko vizuri ukivuta kinakatika Sehemu zilizowekwa gundi kwa maana mkanda unaoshikilia jumba la nje na ile sponge ya ndani, gundi...
  4. lord atkin

    Jaji Malata: Namshukuru Rais Samia kwa kuwanunulia mahakimu pikipiki

    Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Songwe Mhe Malata amekabidhi pikipiki sita (6) kwa mahikimu wa mkoa wa Songwe. Aidha Mhe Jaji Marata amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuidhinisha fedha zilizowezesha upatikanaji wa pikipiki hizo. Chanzo: ITV online
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfanyabiashara avunja rekodi ya kuendesha pikipiki juu ya maji kwa zaidi ya umbali wa kilometa 40

    Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...
  6. M

    Je mtu unaweza kujifunza kuendesha pikipiki Kama hujawahi jifunza baiskeli?

    Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  7. M

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  8. Jaji Mfawidhi

    Polisi: pikipiki zisizo na namba tishio!

    Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba. Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
  9. W

    Anahitajika Fundi Pikipiki Dar es salaam Kunduchi

    Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi. 📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia: 📞 0657 736 223 📧 wilsonbernard255@gmail.com Kwa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wadada/mama mnaoendesha pikipiki Tafadharini sana zingatieni Sheria za barabarani.

    Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji. Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa. Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina...
  11. Dogoli kinyamkela

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  12. J

    Mamlaka Zichukua Hatua Dhidi ya Vijana Wanaobadilisha Exhaust za Pikipiki na Kusababisha Kelele Kubwa

    KERO YA BAADHI YA WAENDESHA BODABODA Tunaiomba mamlaka husika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya vijana wanaotumia pikipiki zilizofanyiwa marekebisho, hususan kwenye mfumo wa exhaust, hali inayosababisha pikipiki hizo kutoa kelele kubwa kupita kiasi tena vijana hao walivyo na sifa...
  13. D

    Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  14. D

    Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
  15. L

    Pikipiki aina ya Vonte tank 1 and 2 ni nzuri kwa matumizi ya kawaida?

    Habari wana Jf,kuna pikipiki naziona mtandaoni na zimenishawishi kutaka kuzinunua maana zinavutia,jee nahitaji kufahamu kwa wale wenye uzowefu nazo hizo pikipiki zinaitwa Vont tank 1 &2 zina cc 150 ila top speed yake mi 140 zinafanana na Honda ADV tatizo la Honda bei ni kubwa sana. Wazoefu...
  16. Jay_wa_tz

    PIKIPIKI YA SIMORAY 250 ADV

    Wadau naomba kujua hivi ni kwanini pikipiki ya sinoray 250 ADV watu wananunua sana na kuuza sana maana namba F zinazouzwa used ni nyingi sana.... Zinashida gani hasa?
  17. G

    Mwenye GEREJI YA PIKIPIKI nataka kuweka DUKA LA SPEA za pikipiki pembeni yake

    Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze. Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja. Nawasilisha.
  18. goodhearted

    Wataalamu wa pikipiki

    Campuni gani ya pikipiki yenye muundo wa kisasa cc 125 yenye mfumo wa push rod kwenye injini yake badala ya timing chain
  19. A

    KERO Uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki mtaa wa Kibamba Luguruni

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi. Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
  20. M

    Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
Back
Top Bottom