pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr PL

    Pikipiki ipi ni bora zaidi?

    Wakuu nataka ninunue pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi, yaani usafiri binafsi nk. Nataka ninunue pikipiki ambayo itakuwa nzuri hasa katika mazingira ninayoishi ambapo kuna barabara nyingi za vumbi na vilima/miinuko kwa wingi. Naomba ushauri kwa wataalamu na wenye uzoefu wa pikipiki ili...
  2. Mdudubitehunter

    Kubadilisha Umiliki wa Pikipiki niliyonunua

    Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo. Natanguliza Shukran 🙏
  3. Mad Max

    Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

    Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS. Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h...
  4. Fbn

    Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  5. The Watchman

    Ada ya usajili wa pikipiki kuongezeka kutoka Shilingi 95,000 hadi Shilingi 150,000

    Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo. Badala ya kodi hiyo, Serikali...
  6. BUMIJA

    Shida ni Pikipiki au Udereva?

    Wasalaam. Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki. Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
  7. Mad Max

    Wapenzi wa Mashindano ya Pikipiki, mnaangaliaga “Isle of Man TT”? Mashindano ya vyombo vya moto ya Hatari zaidi Duniani!

    Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260. Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika...
  8. Dr PL

    Kwanini pikipiki hizi used zinauzwa kwa wingi?

    Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa. Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi? Sababu ni nini hasa ukilinganisha na pikipiki nyingine ..
  9. Mchochezi

    Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  10. Mad Max

    Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  11. Masai wa Town

    Kwa bajeti ya milioni 3, Pikipiki gani anafaa kwa maeneo ya milimani?

    Wakuu, Kati ya Sinoray, T-Better, Honda na King lion ni ipi inafaa kwa maeneo ya milimani kwa bajeti ya milioni 3?
  12. C

    Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Sold out
  13. M

    Shigongo: Kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, mfano Pikipiki ya Sh 3m unalipa Sh 6m, huo ni wizi

    “Vita dhidi ya umasikini bado inaendelea, nikasema nitaisaidiaje Serikali kwa kidogo nilichonacho ili niwasaidie wenzangu, kuna vilio kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, unakopeshwa Pikipiki kwa Milioni 3 unalipa Milioni 6, sio sawa, huo ni wizi na kuwaumiza watu.” Hayo ni maneno ya...
  14. S

    SI KWELI Video ya Pikipiki inageuka kuwa ndege ya kivita

  15. Mad Max

    Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  16. W

    Pikipiki zenye Kelele na Taa kali zakamatwa Arusha

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kukamata pikipiki zinazokiuka sheria za usalama barabarani, hususan zile zinazotoa kelele za milipuko na zilizofungwa taa zenye mwanga mkali. Hatua hiyo inalenga kuboresha usalama wa usafiri na kupunguza kero kwa watumiaji...
  17. Bani Israel

    Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

    Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama, Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
  18. A

    KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  19. Blasio Kachuchu

    Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Una gari, pikipiki, jenereta nunua mafuta ya kutosha haraka weka ndani

    Huu ni upendo mtu kukukumbusha jambo jema kwa faida yako . Siku za usoni aidha mafuta yatapanda bei au kupotea kabisa.
Back
Top Bottom