picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV yangu haioneshi picha ila inatoa sauti

    Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi. Msaada pls
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda katika picha

  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hii picha kichwani kwangu haitaki kutoka shida ni nini

  4. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya nyumba anayoishi Mbowe ikionyesha ngazi za nyumba hiyo ni muhimu ikawekwa hadharani

    Mimi nafakiri picha inayoonyesha mazingira ya nyumba anayoishi Mbowe hasa ngazi za nyumba hiyo zilivyo ni vizuri zikawekwa wazi na kama anaishi gorofani, basi ielezwa alikuwa anaishi gorofa ya kwanza au ya pili au ya tatu,n.k ingawa naamini nymba hiyo haiwezi kuzidi gorofa mbili au tatu...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye Mbowe tunayeambiwa kuwa alilewa chakari akabiringika kwenye ngazi ila hana jeraha lingine zaidi ya kifundoni alipovunjika

    Siandiki mengi ila najua mnaelewa kuwa mtu aliyelewa kisha akaanguka bila break hadi akavunjika kifundo cha mguu (Sijui alikuwa kavaa high hills?) Anakuwa katika hali gani hasa usoni na kichwani (Au labda alikuwa kavaa helmet). Kama Mbowe alikuwa kalewa chakarii basi bila shaka alibiringika...
  6. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

    Huyu ndie mbunge maarufu wa CHADEMA aliYekatisha ziara yake ya Dominica Republic kwa oda ya mkuu wa kambi ya upinzani bungeni
  7. Mag3

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Mzee Lowassa alishatabiri wapinzani kusikika tena ni baada ya miaka 50 kuanzia 2020, wabunge wa CHADEM kapigeni picha za ukumbusho

    Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza. Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tunaopiga picha darajani Manzese

    Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
  13. Maboso

    JamiiForums Tanzania Picha: Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Upepo (Wind energy) wa Megawati 2.4 Mkoani Iringa

    Pichani ni mradi wa umeme kwa njia ya upepo ukiendelea kujengwa katika kijiji cha Usokami mkoani Iringa.
  14. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu umegundua Nini kwenye hii picha

    Tazama picha hii kwa makini umeona Nini.
  15. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi - Sheria ya Mtoto inasemaje kuhusu picha za watoto mitandaoni?

    Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.' Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
  16. Double line

    JamiiForums Tanzania Pata picha umemuazima rafiki yako gari

  17. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Fikiria haya madudu yangefanywa na CHADEMA sipati picha ingekuwaje!

  18. Mjomba Fujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

    Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Sipati picha Lowassa angeshinda 2015 na mawaziri ndio hawa Lijualikali, mchungaji Msigwa na Massele!!

    Eid Mubarak wadau! Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete. Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso. Mawaziri wengine wote...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii. Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi juu ya 'kuicheka picha ya Rais John Pombe Magufuli'. Kwa mujibu wa wakili Benedict Ishabakaki...
Back
Top Bottom