Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center.
Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani...
Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana na uraibu unaowasumbua ikiwemo pia hivi karibuni tuna program maalum ya waraibu wa kamari.
Unaweza...
https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=m0XtKAqQPDQZRRJs
🔥 “NAKUONA, NAKUONA…” — EMMANUEL MUGANDA WA VOA AREJEA BAADA YA MIAKA! | PICHA INASEMA MANENO ELFU MOJA
Baada ya kutokuonana tangu mwishoni mwa mwaka 1968, leo nimepata ziara ya kipekee nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kutoka kwa ndugu yangu...
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake.
Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya chini ndiye anayepaswa kupewa na yule mwenye nacho. Lakini watoto hawa wametufundisha somo tofauti...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.
Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.
Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie
Ni mshahara nilikuwa matadors kazi ili nisiwe "unemployed " lakini naishia kuwa "Unemployed " bonge la movie
Ni mshahara nilikuwa nafayakazi ili nisiwe "Hela" lakini naishia kuwa "kufa...
Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb
The Worst
Marcostilone
mcTobby
Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda.
Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china,
Tusbiri...
Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili.
Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani.
Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
Picha hii ilipigwa na Sista Anna Ali mwaka 1987 kutoka Kenya.
Sista alitokewa na Yesu mwenyewe,akamuomba Bwana wetu ampige picha,Bwana Yesu akamkubalia .
Hii ni kweli.
Hakuna kisichowezekana kwa Mungu
Kumbukumbu zipo.
Picha ya Muujiza ya Yesu Inayodaiwa Kupigwa na Mtawa
Picha inayosambaa...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.
Mgogoro huo unahusisha wananchi...
Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili...
1). Bluu :waliomba kukaa pembeni
2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo
3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa.
Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye...
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso
kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...
Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua
Lakini FAM anaishi...
Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi
Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.