picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha ya Maradona huenda ikachapishwa kwenye pesa ya Argentina

    Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi. Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
  2. Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

    Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
  3. Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  4. C

    Picha zinazofundisha kutoka Mtandaoni

    Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
  5. PICHA: Kamati Kuu CHADEMA fukuzeni hao 19 kutoka chamani

    Picha inaongea mara elfu kuliko maneno maneno.
  6. Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

    Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto...
  7. S

    Picha ya mwili wa Alphonce Mawazo huwa inanifanya niwaone waliochagua kuwa wapagani wako sahihi kujitenga na unafiki wa sisi tunaojidai kumjua Mungu

    Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama. Waliotenda unyama ule sijui kama waliowahi kamatwa, ila kibaya ni watu wa chama fulani kutojali unyama huu na kutumia nguvu...
  8. Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

    1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana... 2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu... Mfano angalia...
  9. Picha Bora zaidi duniani

  10. Dodoma: Harambee iliyoendeshwa na Dkt. Magufuli yapelekea ukamilishwaji wa msikiti mkubwa

    Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ambao Rais Magufuli aliahidi atashirikiana na Wananchi wengine kuujenga na akaanza kwa kuendesha harambee ya ujenzi wake akiwa Kanisani Chamwino, hatimaye umekamilika. Itakumbukwa Jumapili ya August 23,2020 JPM alihudhuria Misa Takatifu na uzinduzi wa...
  11. M

    Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

    ............ ...... Kama unayo picha ongezea...
  12. GE2020 Kijana mbaroni kwa kuchana picha za Magufuli

    POLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli. Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani...
  13. J

    Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
  14. B

    Barabara ya Rusahunga Rusumo katika picha

    Katika picha ni hali halisi ya barabara ya Rusahunga Rusumo 92km miaka 60 baada ya uhuru. Kwa hakika nia njema ya kuwa na miundo mbinu kama ya Ulaya - tungali na safari ndefu. Katika picha ni hali kama ilivyo leo. Labda pamoja na makelele mengi angalau maji yamemwagwa barabarani: Nyuma...
  15. Wanawake huongoza kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kupiga picha zenye utata

    TCRA yataja sababu Wanawake kuongoza kudhalilishwa mtandaoni MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA), imesema wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kuwa na tabia za kupiga picha zenye utata na kuzituma mitandaoni pamoja na kutumia simu za wapenzi wao kupiga picha za utupu. Mkuu wa...
  16. Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

    Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda. Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil. Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua. Wengine wakashuka...
  17. GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  18. Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu

    Zifwatazo ni picha kwa ajili ya watu intelligence tu. Sija zielezea maana zinaeleweka 1 2 3 4. 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Karibuni mwenye nyongeza N.B; kama aujaelewa uliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…