picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha zikionesha Hali ya David Jumbe aliyedaiwa kutekwa

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: David Kafulila aifikisha Tanzania nafasi ya 9 Duniani kwa PPP.

    Hongera Rais Samia, Hongera Kafulila Hongera team PPP Centre
  4. JamiiForums Tanzania Picha ya Makatibu wa Kwanza Tanganyika Baada ya Jamuhuri 1962

    Hii ni picha ya makatibu wa kwanza baada ya nchi yetu kuwa jamhuri mwaka1962. Katika picha hii walikuwa wamebaki watatu waliohai kabla ya kufariki dunia Paul Sozigwa aliye wa pili kulia msitari wa pili. Tunao waombea mmaisha zaidi ni fredrick mchauru 97yrs aliye wa pili kushoto mstari wa pili...
  5. JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Msiba Wako: Ukweli Mchungu

    Siku moja bila kujua utapiga picha ambayo itakuja kutumika kwenye msiba wako.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Aya nipeni maneno nje ya mada pia kwanini Samsung nyingi karibu zote picha zake mbovu zinapauka mno s23 picha insonekana vizuri ila rangi mbaya
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dua Lipa ashtaki Samsung $15M kwa kutumia picha zake kwenye Maboksi ya TV

    Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  13. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  15. JamiiForums Tanzania Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

    NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kijana adaiwa achukuliwa na wasiojulikama wakiwa wamevalia mask nyeusi

    Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
  17. U

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

    PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026 == Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
  18. JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  19. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  20. JamiiForums Tanzania Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

    Mimi nina hii👇 sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe. Shukuru kwa kila jambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…