Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950
Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi.
Tumia picha upendavyo hazina hati miliki.
Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
Hii ni picha ya makatibu wa kwanza baada ya nchi yetu kuwa jamhuri mwaka1962.
Katika picha hii walikuwa wamebaki watatu waliohai kabla ya kufariki dunia Paul Sozigwa aliye wa pili kulia msitari wa pili.
Tunao waombea mmaisha zaidi ni fredrick mchauru 97yrs aliye wa pili kushoto mstari wa pili...
Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda..
Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao.
Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea.
Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP).
Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.
Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
Mimi nina hii👇
sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe.
Shukuru kwa kila jambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.