picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito wanajifungulia sakafuni Hospitali ya Buzurugwa

    Nimeona comment nyingi wanawake wanasema wanaporwa simu wanapoenda labor huko hospitali za serikali. Wanawapora simu sababu hii, hawataki watanzania waone kuwa in 2023 bado wanawake wanazalia sakafuni.. Hii ni hospitali ya Buzurugwa. Wamama wanapeana zamu kuzaa sakafuni. Na hii ndo situation...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinathibitisha makabwela wa CCM mtawasindikiza akina Mwigulu na wenzake

  3. JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea nini?

    Hii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka. Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

    Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera.... Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

    Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  9. JamiiForums Tanzania Picha mpya ya Yesu yamuonesha akiwa kwenye maporomoko ya majengo yaliyosababishwa na mayahudi

    Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi. Akimalizia misa yake...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    Mi naanza na My Motherland 🇹🇿 🇹🇿
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Taifa limepata faraja inayostahili toka kwa Rais Samia

  14. JamiiForums Tanzania Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  15. JamiiForums Tanzania Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

    MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali. Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi. Lakin mpaka Sasa bado...
  16. JamiiForums Tanzania Tovuti za ponografia(Ngono) zinaweza kutumia utambulisho kwa njia ya picha na 'Credits cards' ili kulinda watoto

    Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla. Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
  17. JamiiForums Tanzania Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  20. JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…