picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini. Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.? Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri wa CCM akisakata kabumbu huku amevaa skafu shingoni.

  4. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Umeelewa nini kwenye hii picha?

  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: 50 cent apungua uzito, amekonda sana

    Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni. Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake uzito kumeibua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki kuhusu muonekano wake huo mpya. ANGALIA PICHA...
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa stars mnakumbuka nini mkitazama hii picha?

    Sie mashabiki wa Mali hatuna hofu nyie mashabiki wa stars mnakumbuka nini mkiiona hii picha?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufahamu akili kubwa angalia namna Nchimbi alivyong'ang'ania kupiga picha na Bagonza, ukisimamia haki lazima watakutafuta popote ulipo

    Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote. Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mgunda, Moroco na Captain Samatta katika picha ya pamoja. Unahisi wanazungumza nini?

    Ipe maneno picha hii..
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Thread: Picha za mafuriko sehemu mbalimbali ulimwenguni

    Huu ni uzi maalumu kwaajili ya kupost picha za mafuriko sehemu ulipo. TUPIA PICHA ZINAZOONYESHA MAFURIKO YA MVUA SEHEMU MBALIMBALI ULIMWENGUNI.
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii husababishwa na nini kwenye kuta za nyumba?

    Hii imetokea kwenye kuta, husababishwa na nini hii hali? Kama kuna njia ya kuzia pia ningependa kuifahamu.
  12. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Picha: Debate Nyani Ngabu Vs Makonda

    ??
  13. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Picha hii imenigadhabisha sana

    kwa kweli Hawa jamaa wanatakiwa Leo kuuwawa!
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Utani wa ngumi kwa Messi

    Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau. Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

    Kwenye maisha kila mtu ana uchaguzi wa mahali pa kuishi, kwa jinsi unavyoona utaweza kuishi kwenye nyumba hii?
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

    Wanajeshi wa nchi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja. UMEGUNDUA NINI KWENYE HII PICHA?
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila napopata machungu ya Man Utd huwa narudi kuangalia hii picha kukumbukia ya kale.

  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwamba wetu Makamanda

Back
Top Bottom