picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  3. JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya siku

  4. G

    JamiiForums Tanzania INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

    Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa. Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga. Hizi ni baadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi. Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara. Prof. Janabi...
  6. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  7. JamiiForums Tanzania Picha: Tuondoe ubishi, huyu ni Stamina ama Davido?

    Utoto raha sana
  8. JamiiForums Tanzania Sipendezwi na picha halisi ya twiga katika ndege za atcl

    Habari, Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL. Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu sio Chief kweli?

  11. G

    JamiiForums Tanzania Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

    Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Hayati Julius Nyerere original

  15. JamiiForums Tanzania Picha Yangu bora msibani kwa Lowasa inaongea Mengi

    1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Uchawa wa kisiasa uliovuka mipaka

    Ukisikia Uchawa uliovuka mipaka kwenye siasa ndio kama huu,
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Kwa ukuta wa kihivi, wana Gaza waisahau Misri, yaani wajifie huko

    Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu. Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa na uchungu sana na Waarabu, ukifuatilia kwa makini utakuta wako busy kutafuta kipato huko Buza...
  19. JamiiForums Tanzania Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

  20. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…