picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unapenda picha za kuchora kwa mkono au za mashine?

    Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine. Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini? Wewe unapenda picha gani, au bora picha. Tupia picha zako kali za kuchora kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je hii ni picha halisi?

  3. JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  4. JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya raia wa Zimbambwe baada ya kurudi akitokea Afrika Kusin tangu 2009

    Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

    Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana. Inavyoonekana sijui ni nani...
  7. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu picha za noti za Fedha huandikwa SPECIMEN badala ya kuoneshwa kama zilivyo?

    Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati. mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
  9. JamiiForums Tanzania Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

    Baada ya thread nzuri juu ya maana ya majina tunayotumia humu ndani ya JF, nimeona ni vizuri pia tukaongelea kuhusu avatar tunazotumia
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Aziz Ki akifunga ndoa ni halisi?

    Wakuu nimekutana na watu wanapost huko X kuwa Mchezaji Aziz Ki amevuta jiko lingine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

    Mmoja ya wajumbe?
  12. JamiiForums Tanzania Makonda alivyoshuka Jukwaani na kwenda kuomba Picha na Chole wa Serengeti Boys

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Hii picha imepigwa Posta, Dar es Salaam

  14. JamiiForums Tanzania Huyu Kamera Man wa Chato katuharibia picha yetu ya karne

    Guys Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Kuna picha za akili unde na za matukio ya zamani zimeunganishwa na matukio ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna picha za akili unde ambazo zilizitazamwa. Na kuna madai kwamba pengine kuna picha zinasingiziwa akili...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Ndugu zangu Watanzania, Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende. Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji. Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Polisi USA VS Polisi wa Tanzania

    Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali. Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Viwanda vya Juisi vinaweka picha ya tunda kumbe vinaweka kemikali

    Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda. Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni, Mei 22, 2026. Hatari sana,
  19. S

    JamiiForums Tanzania Picha za satellite zimeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi za Israel.

    Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaonya Shule kuchapisha picha za wanafunzi mitandao kutokana na tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail)

    Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…