picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

    Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa. Tunaishi...
  2. Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  3. O

    Ila sasa kwanini picha imechorwa hii

    Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke. Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha...
  4. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  5. Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

    ===== Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameonekana nchini Dubai hivi karibuni akiwa kwenye mapumziko, taarifa ambazo zinafuta uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwake wiki kadhaa tangu ajiuzulu Taarifa za vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Dkt...
  6. Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  7. Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

    Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
  8. M

    Siri ya mtungi: watalii wenye Pixel na iphone original, Camera zao zinatoa picha kali sana kuzidi simu zetu tunazonunua maduka ya refurbished / used,

    Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki. simu...
  9. Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai, Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti

    MAMBO MAKUBWA YANAKUJA. HADITHI MPYA INAANZA. Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai; Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti. Si kila jambo hutangazwa mapema. Mengine huachwa yajidhihirishe kwa wakati wake. Tuwe na subira, tuendelee kuwa na shauku ya maendeleo na matarajio...
  10. Kila Picha Unayopiga na Simu Yako Inaonyesha Ulipo - Watu Wanaweza Kukufuatilia Nyumbani Kwako Kupitia Picha Tu Na Kuhatarisha Usalama Wako

    Habari wadau, Natumai mko poa Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu. Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua? 1. Mahali...
  11. C

    Picha za Kim Jong Un zatolewa kufuatia tetesi za kifo chake kusambaa mtandaoni

    Serikali ya Korea Kaskazini imechapisha picha, zenye kumuonesha wa kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong-un akikagua duka la viatu na nguo za watoto nchini humo, siku chache baada ya kudaiwa kuwa alikuwa kwenye ‘coma’, baada ya ubongo wake kuvuja damu. Shirika la habari la Korea Kaskazini, Korean...
  12. C

    Kwa nini kamera yako ya CCTV haioni vizuri usiku? Mwongozo wa picha safi gizani

    Habari wana JF, Swali ninalopata mara kwa mara: "Nimeweka CCTV, lakini usiku picha ni giza, ukungu au nyeupe kabisa — kwa nini?" Uhalifu mwingi hutokea usiku. Kama kamera yako haioni vizuri gizani, umelipia kitu kinachofanya kazi nusu tu. Leo nitaeleza kwa lugha rahisi jinsi night vision...
  13. Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize. Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena. Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
  14. Mlinzi shujaa

    PIcha za mlinzi shujaa
  15. PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

  16. R

    Picha: Wewe na mimi tulo wapi katika picha hii

    Mimi niko chini, wewe uko wapi?
  17. PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

  18. Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

    Moja kwa moja...... Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF 1. 2. 3. 4. #UziUnaendelea
  19. R

    Kila mmoja aandike analotaka kwenye picha hii

    Tutajua feelings za kila mmoja. Mimi nitaandila wa mwisho
  20. Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…