picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Una picha ipi nzuri kwenye simu yako

  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Kulikoni!

  4. JamiiForums Tanzania Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  5. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naomba mumfahamu kwa picha Rais wa Yemen aendaye kwa jina la Rashad Muhammad al-Alim

    Wadau hamjamboni nyote? Anaitwa Rashad Muhammad al-Alim na amezaliwa 1954 na anaishinAden Yeye ndiye Rais wa nchi ya Yemen! Niwatakie sabato njema Taarifa kamili za makazi yake hapo chini kwa kimombo: The current residence of the Yemeni President, Rashad al-Alimi, is in Aden, specifically...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Current News

  8. JamiiForums Tanzania Ile picha, je,ulikuwa unabii,au ni mipango ya wenye dunia yao?

    Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo. Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia...
  9. JamiiForums Tanzania Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

    Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke. huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰. Mashine yenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi Whatsapp, Facebook zilivyobadili approach

  11. JamiiForums Tanzania Rihanna na A$AP Rocky wanatarajia mtoto wa tatu

    Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025. Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

    Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii. Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii Karibuni sasa tu share picha zao...
  13. JamiiForums Tanzania Trump apost picha akiwa amevaa mavazi kama Papa, Uongozi wa Kikatoliki New York wamshukia

    Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa). Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi habari kuhusu nani angependelea awe papa, akajitaja yeye mwenyewe lakini ghafla akabadili na kuonesha...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

    Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
  15. JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kuna ukweli katika hili asemalo huyu Mama

    Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo. Ukimya wake unamaanisha, ameumia Ukimya wake unamaanisha, hana furaha Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...
  17. JamiiForums Tanzania Picha hii inakupa somo gani?

  18. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya wanaume kutumia picha za wadada warembo kupiga punyeto

    Ndugu zangu. Katika jambo la kujimaliza , wanaume wengi wamekua wakitumia picha za warembo mbali mbali kujimaliza kwa kuwapigia punyeto huku wakiamini wameridhika kabisa. Je, ni sababu zipi zinazopelekea hasa matumizi ya picha za warembo pindi mwanaume anapotaka kujimaliza ubongo wake na yapi...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Wana CCM Uyole wapewa Mo Energy, Mama kafungua nchi

  20. JamiiForums Tanzania Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…