Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Wadau hamjamboni nyote?
Anaitwa Rashad Muhammad al-Alim na amezaliwa 1954 na anaishinAden
Yeye ndiye Rais wa nchi ya Yemen!
Niwatakie sabato njema
Taarifa kamili za makazi yake hapo chini kwa kimombo:
The current residence of the Yemeni President, Rashad al-Alimi, is in Aden, specifically...
Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.
Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia...
Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.
Mashine yenyewe...
Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025.
Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi...
Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii.
Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii
Karibuni sasa tu share picha zao...
Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa).
Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi habari kuhusu nani angependelea awe papa, akajitaja yeye mwenyewe lakini ghafla akabadili na kuonesha...
Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa.
Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo.
Ukimya wake unamaanisha, ameumia
Ukimya wake unamaanisha, hana furaha
Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini
Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...
Ndugu zangu.
Katika jambo la kujimaliza , wanaume wengi wamekua wakitumia picha za warembo mbali mbali kujimaliza kwa kuwapigia punyeto huku wakiamini wameridhika kabisa.
Je, ni sababu zipi zinazopelekea hasa matumizi ya picha za warembo pindi mwanaume anapotaka kujimaliza ubongo wake na yapi...
Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana.
Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana.
Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁
Mkiwaorodhesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.