picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Kituko Cha ajabu duniani: Kitambulisho Cha NIDA kua na picha ya mtu ambaye sio mwenye kitambulisho

    Katika maisha yangu yote na uzee huu sijawahi kitu Cha ajabu na Cha kpmbvu kama hiki Sasa tunaosafiri huko duniani nchi zingine unaambiwa Lete your national identification card unatoa anaona lipicha la mtu ambaye sio anayemuangalia mbele yake.. Hii ni akili ama matope jamani watanzania...
  2. Si adabu kumrekodi picha za utupu mwanamke mtu mzima vile (heshima ipo wapi?)

    1. Vijana tuweni na heshima kwa watu waliotuzid umri. Unafanya yote haya kwa ajioi ya nn? Pia hata hamtumii kinga. Kweli? 2. Fikiria unamrekodi mtu mzima kama Bibi mzaa baba yako kisha unarusha mitandaoni. Heshima ipo wapi? Adabu ipo wapi?
  3. TANZIA Mpiga picha mzoefu Silvan Kiwale afariki Dunia

    Aliyekuwa mpiga picha wa New Habari (2006) Ltd iliyokuwa ikizalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba, Silvan Kiwale, amefariki dunia Jumatatu, Novemba 16, 2026, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupata ajali ya bajaji. Kiwale, aliyewahi kufanya kazi katika vyombo mbalimbali...
  4. O

    The Standard yaomba msamaha baada ya kuchanganya picha za Watu wawili

    Gazeti la The Standard limeomba msamaha baada ya kuchapisha kimakosa picha ya mwanaharakati, mwanamuziki na mratibu wa jamii Billian Okoth Ojiwa likiambatanishwa na jina la Michael Oloo Osoro katika taarifa kuhusu watu waliopotea. Katika toleo la Novemba 16, 2026, The Standard ilichapisha...
  5. G

    Majina haya kwenye tangazo hili yakupa picha gani kwa Tanzania ya sasa?

  6. J

    Piga story yoyote kwenye picha hii.

    Piga story yoyote kwenye picha hii.
  7. A

    KERO Umeme Nzega ni tatizo, TANESCO wanaomba radhi na kutuma picha za mafundi ila hakuna maboresho

    Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
  8. Zivaliwe sana Tshirt zenye picha Lissu na namba 623/2026

    Solidarity Forever ✌✌✌
  9. H

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
  10. N

    JAMiiCLUB YAZINDUA FEATURES MPYA ZA AUDIO CALL, VIDEO CALL, VOICE NOTES NA KUTUMA PICHA

    JAMiiCLUB YAZINDUA FEATURES MPYA ZA AUDIO CALL, VIDEO CALL, VOICE NOTES NA KUTUMA PICHA JamiiClub inaendelea kuboresha uzoefu wa mawasiliano ya kidigitali kwa kuongeza features mpya zinazowawezesha watumiaji kuwasiliana kwa njia mbalimbali ndani ya jukwaa moja. Katika maboresho haya...
  11. U

    Rais Trump atuma ujumbe mzito kwa Domocrats kwa kuweka picha ya kofia ikiwa imeandikwa VETO

    Hamjamboni nyote? Trump bana he u tazama hiyo kofia! President Trump is already putting Democrats on notice with a bright red hat bearing just one word: “VETO.” As Democrats look to take control of Congress, Trump is signaling he plans to use one of the strongest powers of his office to block...
  12. N

    VIDEO: Hili shangwe la Shaka!! Shaka Hamdu!! Shaka!! linatupa picha gani sisi wengine wenye mamlaka?

    Maana halisi ya kiongozi ni mtu anayewaongoza, kuwaelekeza, kuwahamasisha na kuwajibika kwa ajili ya watu anaowaongoza ili kufikia lengo au maono fulani. Kiongozi si mtu mwenye cheo au mamlaka tu, bali ni mtu mwenye uwezo wa kuonyesha njia, kutoa mfano mzuri na kubeba wajibu wa maamuzi yake...
  13. Picha Katika Historia ya Maisha ya Ali Mahfoudh

    https://youtu.be/3RsB4DbLjDk?si=WmeXPmVt8P22x5Rt[/UR HISTORIA YA ZANZIBAR NA UKOMBOZI WA AFRIKA: HAZINA YA PICHA ZA KAMANDA ALI MAHFOUDH NA MWALIMU NYERERE HOOK: Picha hizi adimu zinafungua ukurasa muhimu wa historia ya Zanzibar, Tanganyika na harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika. Kutoka...
  14. Habib Halahala: Mwandishi wa Habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  15. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  16. Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  17. Hii picha inachekesha sana

    😁
  18. M

    Kwanini BBC Swahili kuombeleza October 29, wameweka kaburi la picha yenye msalaba?

    Nauliza tu Picha hii ambayo wameweka ktk Website ya BBC Swahili
  19. L

    PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  20. Picha la Kutisha. Kama roho yako nyepesi usifungue huu Uzi

    Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa. Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…