pesa

  1. Eng. Hersi Said Ameipasua Yanga Katikati: Je, Mafanikio ya Pesa Yanatosha Kuficha Makosa ya Kiuongozi?

    Nianze kwa kukiri wazi: mimi sijawahi kuongoza timu yoyote ya mpira wa miguu. Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa klabu ya Yanga na maamuzi yanayofanywa na viongozi wake kwa muda mrefu sasa. Sote tunajua kuwa maamuzi na matendo ya kiongozi ndio kioo cha uwezo wake wa kufikiri na picha...
  2. Unalipwa/unapewa pesa kulingana na thamani yako si kwa kazi uliyoifanya. Usitafute pesa tafuta thamani

    Napingana na msemo wa tafuta PESA. Ni msemo usiopimika kwenye mizani ya kifedha. Kwanini walinzi na madereva kwenye kampuni au ofisi nyingi wanalipwa kidogo kuliko kada zingine? Ni kwasababu kazi zao zinaweza kufanywa na watu wengi. Si kwamba kazi yao ni rahisi ndiyo maana wanalipwa kidogo. Ni...
  3. K

    Za Ndaani: Mjadala Wizi pesa za kujenga Uwanja wa mpira Arusha

    Mada hii leo imewashwa kuelekea tarehe ni script Kesho litatoka tamko kuhusu wizi uo ikiwemo pangua pangu Kesho mtachapwa yaliyojiri harusini Tarehe 7 Jumamosi Duduzuri atatumika kupima upepo pia 🚶
  4. Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  5. A

    Vyuo kama UDSM tumieni fursa ya AFCON kupata pesa

    Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP). Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
  6. J

    Mungu Hafanyi Biashara: Kwa Nini Amri Zake Ni Safi na Hazitaki Pesa Yako Ili Ubarikiwe

    MUNGU HAFANYI BIASHARA: KWA NINI AMRI ZAKE NI SAFI NA HAZITAKI PESA YAKO ILI UBARIKIWE Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii au ukitembelea makanisa mengi leo, utakutana na ujumbe unaofanana: “Toa kiwango fulani cha pesa ili upokee muujiza wako,” “Nunua maji haya ya upako,” “Leta sadaka ya...
  7. O

    "Ukarimu au Siasa za Kura? Mbunge wa Nyaribari Chache Aibua Gumzo kwa Kugawa Pesa Taslimu Mtaani"

    Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
  8. Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  9. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  10. PESA FEKI KUOMGEZEKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  11. Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

    Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili. Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital. Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake. Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki...
  12. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  13. M

    Orodha ya watu ambao hawajui kusema "SIWEZI KUITATUA SHIDA YAKO", Mwisho wa siku utapotezewa pesa na tatizo litabaki au yanaongezeka mengine

    Wakati mwingine kusema "SIJUI" ni uaminifu, si udhaifu. Bora umwambie mteja ukweli Watu wengi hujikuta wanapoteza pesa na muda wao kutatua shida zao kwasababu ya mtu kukosa hekima ya kukubali hajui 1. MCHUNGAJI WA KILOKOLE 2. FUNDI GEREJI MBONGO 3. MGANGA WA KIENYEJI
  14. M

    Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  15. Pesa za kishetani ni hizi za kawaida toka BENKI au ni pesa zinazotengenezwa kichawi? Njoo nikueleze kitu

    Mimi ni mvuvu wa kuandika. Nitaandika kwa kifupi sana lakini nadhani utanielewa. Kuna mambo matatu hapa lazima tuyajue ili ikiwezekana hayo mambo yawe keys za kupata fedha na kuishi katika uhuru wa kifedha. Jambo la 1: Pesa ni nini? Jambo la 2: shetani ni nani? Jambo la 3: Je, pesa zote halali...
  16. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  17. F

    PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  18. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  19. M

    Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  20. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya Handeni tumelipwa pesa ya kujikimu Tsh350,000 tu

    Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…