pesa

  1. Fbn

    Tuwaulize hawa wanaosema forex ni utapeli,Na wanajuwaje pesa za kigeni thamani yake ?.

    Kumsaidia muafrika ni ngumu sana kuwa wewe ni mjinga. Kwenye kipindi cha madini dotcom cha mtangazi East africa redio sikosei. Kuna makala aliweka kuhusu congo kutawaliwa na mtu ambaye hakufika congo mpaka anakufa ila aliwatesa sana kwa kutumia waafrika wenzake. Hapa JF kuna wakurupukaji...
  2. venchwa

    Eti wenye Pesa hawana Kelele one day ntachafukwa niwape wana JF kwa idadi ya watu 500 kila mtu 100,000, mi si tajiri Lakini

    Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu Siko vibaya sana Nasema haya makusudi, Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
  3. H

    Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  4. A

    KERO Hadi sasa Wilaya ya Mpwapwa hatujapata fedha za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma. Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi sasa hatujapokea fedha tulizoahidiwa, licha ya kuambiwa kuwa zingelipwa ndani ya muda mfupi...
  5. Fbn

    Tanzania kuna wakulima wanapiga pesa ila nahisi ni viongozi na wameblock wakulima wengine wasifanye.

    Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege. Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada. Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi. Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
  6. Fbn

    Dubai ni kichaka cha damu na pesa chafu. Leo kila documentary zinatuhumu Dubai.

    Mi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara. Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na ndiye mnunuzi kubwa na mpokeaji wa dhahabu. Matapeli wakubwa na waficha pesa wote wapo dubai tumeona...
  7. K

    Yaani watu wamekutunza jukwaani kwasababu umewakosha kwa nyimbo au stalii za kudensi Sasa hizo pesa ukizitumia ni ufisadi?

    Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi? Kumbuka...
  8. L

    Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  9. Equation x

    Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  10. ChoiceVariable

    AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  11. FORBIDDEN HISTORY

    Wadada na style ya kujiuza na kujisponsa haiwezi kuisha kama mama zao wapo tayari kupokea pesa kutoka kwa wanao wanazopata kwa kujiuza na kwa masponsa

    Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
  12. O

    Pesa ni tool muhimu iwe Pascal mayala au Robert Heriheri sijui Heriel kasema amani ni mafanikio ila pesa ni chanzo

    Ni kweli mafanikio yanahusisha furaha, amani na utulivu wa moyo. Lakini tusidharau nafasi ya pesa. Ukiishi maisha ya kukosa chakula, kushindwa kulipa ada, kodi au matibabu, ni vigumu kuwa na amani ya kweli. Pesa si furaha yenyewe, bali ni chombo muhimu kinachorahisisha maisha na kupunguza...
  13. venchwa

    Nawapa tip, mwanamke akikudanganya usiulize tuma pesa tu! Hapo ume mu win

    Kuna wanawake wanajifanyaga wajanja kwamba wanadamganya wanaume kupata pesa kwamba anaumwa au kuna shida we mpe tu pesa anajiweka mwenyewe kwenye kona Yaan huyo utamla sana kuliko ambaye hajakudanganya
  14. baz kaiza

    Waliokua wamepanga kumuua John Heche ndo wamekuja na Plan B kwamba anatumia vibaya pesa za chama trust no One

    Waliokua wamepanga kumuondoa Joh Heche kwa kutoa uhai wake ndo wamekuja na hii plani kwamba Heche ametumia vibaya pesa za michango ya chama? Heche si ndo huyu huyu dereva wake amefariki Kifo cha kutatanisha? Leo huyo Heche bado yuko kwenye majonzi ya kufiwa na dereva stil wanaimbuka watu...
  15. Red black

    Pata pesa tujue tabia yako

    hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
  16. Q

    Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  17. A

    KERO Watumishi wa Afya tunalazimishwa kuchangia pesa ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya Buhigwe - Kigoma

  18. A

    KERO Watumishi wa Kwimba wamelipwa fedha za kujikimu, mbona Walimu wa ajira mpya bado?

    Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu. Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo? Tunaomba mamlaka husika...
  19. Masweeter

    Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

    Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
  20. Kevzy

    Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
Back
Top Bottom