pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wao hawakua na subira,wakamfuta kazi,anadai malipo asepe zake,wanamwambia asubiri.kwa hiyo wao pekee ndio wana haki ya kusubiriwa?

    mtumishi wako amefiwa,tena kafiwa na mwanae anaomba siku 7 unampa 3.kweli? Akiwa kwenye majonzi anahitaji faraja,unamwambia umemfuta kazi (kienyeji tu),anakubali.anakuomba umpe stahiki zake unamwambia asubiri sijui masuala ya bank yamefanyaje!! ASUBIRI! Mmenifuta kazi ghafla mnilipe ghafla...
  2. Je, ukiwa CCM unadhani kifo kinawahusu CHADEMA pekee?

    Kuna matukio yanayotokea nchini ambayo yananifanya nitafakari sana. Wakati mwingine unaona kana kwamba baadhi ya watu wanadhani masuala ya vifo, kupotea kwa watu, utekaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ni matatizo yanayowahusu wanachama wa CHADEMA pekee. Ukweli ni kwamba maisha ya Mtanzania...
  3. Baba Levo wewe pekee bungeni umeonekana ndio msomi

    Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300. Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake. Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi...
  4. Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  5. swali Kwa Wana CCM PEKEE! Je mmefurahia LISSU Kufungwa jela?

    Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake? Hebu ngoja niwakumbushe tu! 1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
  6. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  7. Adhabu ya UHAINI ni KIFO pekee?

    Nimekuwa nikiona mjadala kuhusu adhabu ya uhaini hasa kwa vifungu alivyotuhumiwa navyo Tundu Lissu. Kumekuwa na upande ambao umekuwa ukisema adhabu stahiki si lazima iwe kifo lakini wapo na hasa (Tundu Lissu mwenyewe) kuwa kisheria ni lazima adhabu iwe kifo. Nimechukua muda wangu kutafuta na...
  8. Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  9. Dada na wadogo zangu, mwanaume ndie kiumbe pekee mwenye upendo wa dhati kwako

    Hiyo nafasi nilio acha hapo juu, nitakuja kusalimia nikimaliza kuandika uzi. Baba na mama yako wanakupenda kwasababu walikuzaa (hawana hiyari) Dada/Kaka wanakuoenda kwasababu mlizaliwa pamoja (hawana hiyari) Huyo mwanaume uliekutana nae akiwa amezaliwa kwao na anatabia zake na hana undugu na...
  10. Dar ndio sehemu pekee mnakaa mshikaki (mbambiana) kwenye boda msiofahamiana

    Dar ndio sehemu pekee mnakaa mshikaki (mbambiana) kwenye boda msiofahamiana. Wanaume kwa wanaume au mwanamke na mwanaume. Unatoka Mbezi umebambiwa na lijamaa mpaka Kariakoo😀 limekugusa makalio yako🙌🏿🤔
  11. Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??

    Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??
  12. Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??

    Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??
  13. M

    Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
  14. Kwa Muktadha na kwa uchambuzi wa kina CCM ndio taasisi pekee itakayolinda maslahi mapana ya JMT

    Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge. Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
  15. M

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  16. Ni Tanzania pekee tunazoea shida

    • Watanzania sisi uchafu unaweza kuwepo hapo na ukauopita kila siku, na ni nyumbani kwako • Ni Tanzania mtu anapata ajali watu wanakuja kushangaa na hawatasaidia chochote • Ni watanzania tu, maji yanavuja hata mwezi hakuna atakae wapigia idara ya maji mpaka wakatiwe maji wao • Ni Tanzania tu...
  17. L

    Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  18. NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea

    NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea kazi yako 2. Project Proposal & Grant Writing - Andiko la kuomba ufadhili wa miradi (Yatima, Kilimo, uwekezaji n.k) - Bei ya makubaliano...
  19. M

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
  20. John magufuri na Benjamin netanyahu ndo watu pekee wanaojua lugha ya kuzungumza na wapumbafu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…