mtumishi wako amefiwa,tena kafiwa na mwanae anaomba siku 7 unampa 3.kweli?
Akiwa kwenye majonzi anahitaji faraja,unamwambia umemfuta kazi (kienyeji tu),anakubali.anakuomba umpe stahiki zake unamwambia asubiri sijui masuala ya bank yamefanyaje!! ASUBIRI!
Mmenifuta kazi ghafla mnilipe ghafla...
Kuna matukio yanayotokea nchini ambayo yananifanya nitafakari sana. Wakati mwingine unaona kana kwamba baadhi ya watu wanadhani masuala ya vifo, kupotea kwa watu, utekaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ni matatizo yanayowahusu wanachama wa CHADEMA pekee.
Ukweli ni kwamba maisha ya Mtanzania...
Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha
Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300.
Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake.
Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi...
But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
chadema
furaha
hadharani
heche
john
john heche
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mpaka
mwanachama
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
pekee
taifa
umma
Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake?
Hebu ngoja niwakumbushe tu!
1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu.
Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
Nimekuwa nikiona mjadala kuhusu adhabu ya uhaini hasa kwa vifungu alivyotuhumiwa navyo Tundu Lissu. Kumekuwa na upande ambao umekuwa ukisema adhabu stahiki si lazima iwe kifo lakini wapo na hasa (Tundu Lissu mwenyewe) kuwa kisheria ni lazima adhabu iwe kifo.
Nimechukua muda wangu kutafuta na...
Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu.
Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu, nitakuja kusalimia nikimaliza kuandika uzi.
Baba na mama yako wanakupenda kwasababu walikuzaa (hawana hiyari)
Dada/Kaka wanakuoenda kwasababu mlizaliwa pamoja (hawana hiyari)
Huyo mwanaume uliekutana nae akiwa amezaliwa kwao na anatabia zake na hana undugu na...
Dar ndio sehemu pekee mnakaa mshikaki (mbambiana) kwenye boda msiofahamiana. Wanaume kwa wanaume au mwanamke na mwanaume. Unatoka Mbezi umebambiwa na lijamaa mpaka Kariakoo😀 limekugusa makalio yako🙌🏿🤔
"Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli.
Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge.
Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
• Watanzania sisi uchafu unaweza kuwepo hapo na ukauopita kila siku, na ni nyumbani kwako
• Ni Tanzania mtu anapata ajali watu wanakuja kushangaa na hawatasaidia chochote
• Ni watanzania tu, maji yanavuja hata mwezi hakuna atakae wapigia idara ya maji mpaka wakatiwe maji wao
• Ni Tanzania tu...
Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
NINATENGENEZA
1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned
Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea kazi yako
2. Project Proposal & Grant Writing - Andiko la kuomba ufadhili wa miradi (Yatima, Kilimo, uwekezaji n.k) - Bei ya makubaliano...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga
Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu
Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.