Kuna nyimbo Kama ile kaitoa na Vanessa mdee me and you na Kuna nyingine Kama ile tukutane Tena baadae na Kuna ile Yuko na alikiba inaitwa nai nai nyingi nazikubali Ni nyimbo za ujana wangu Kuna kajiandae Yuko na alikiba.huyo ndo ommy Dimpoz.
Masanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amepata maualiko rasmi wa kuhudhuria michezo ya NBA All-Star ambayo itafanyika mjini Chicago Marekani kuanzia Februari 14 hadi 16 mwaka huu.
Ommy Dimpoz anakuja ni miongoni mwa Mastaa watatu kutokea Afrika waliopewa mwaliko huo, hao wengine ni Sho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.