ommy dimpoz

  1. Political Jurist

    Ommy Dimpoz apata gari lake, TRA yawataka wengine kutumia fursa ya msamaha wa kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemaliza sakata la gari la msanii maarufu Omary Nyembo, anayefahamika kama Ommy Dimpoz, baada ya kubainika kuwepo kwa ukiukwaji wa baadhi ya taratibu za forodha, ikiwemo kutolipwa kwa baadhi ya kodi wakati wa kuingiza gari hilo nchini. Kutokana na hali hiyo...
  2. Jaji Mfawidhi

    Ommy Dimpoz na Gari la kukwepa kodi, TRA wabaini utofauti

    TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu" MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti" Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama...
  3. 3

    Rasmi TRA yatoa tamko kwa Ommy Dimpoz alivyokwepa kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari. TRA imesema katika operesheni iliyofanyika Septemba 26, 2026, eneo la Palm Beach Casino, Dar es Salaam, ilibaini...
  4. 3

    Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

    Mwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!. Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni. Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy...
  5. Dogoli kinyamkela

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
  6. Jannatul Firdaus

    Ommy Dimpoz: "Sina Cha Kumfanya Dudu Baya, Anayenijua Kiundani Ni Mungu Tu"

    Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania, Ommy Dimpoz, amejibu rasmi tuhuma na maneno ya kashfa yaliyotolewa dhidi yake na msanii mwenzake Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudu Baya, aliyemwita "chakula" (mshoga). Ommy Dimpoz ameeleza kuwa hana mpango wa kuchukua hatua yoyote ya kisheria au ya...
  7. cocastic

    Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha. Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
  8. The Watchman

    PostGE2025 Ommy Dimpoz: Walioona tumewadhihaki nawaomba msamaha

    Ommy Dimpoz amewaomba msamaha kwa wale waliona wamedhihakiwa kwa kauli waliyoitoa kuwa vijana wafanye kazi waache kulalamika. Huu msamaha ameuomba kirahisi sana Pia Soma: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ommy Dimpoz anunuliwa iPhone 17 Pro Max na mke wa GSM kama zawadi

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amepost zawadi ya simu toleo jipya iPhone 17 Pro Max aliyonunuliwa kama zawadi na mke wa GSM. Baada ya kupost zawadi hiyo imeibua minong’ono mingi mtandaoni🤔
  10. kyagata

    Hivi Ommy Dimpoz yeye anafanya kazi gani hadi adhihaki wenzake?

    Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi. Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo! Hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki. Labda...
  11. ngara23

    Ommy Dimpoz nae ni wa kudharau Watanzania? Kwani ana utajiri Gani?

    Mommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu....zenu wote" Bora hao wengine wamefanikiwa, Sasa Ommy Dimpoz nae masikini mwenzetu nae anatukana 1. Ommy Dimpoz alishindwa...
  12. GENTAMYCINE

    Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  13. GENTAMYCINE

    Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  14. MFALME WETU

    Undisputed Truth: Pengine Ommy Dimpoz akawa ndo msanii anaemiliki mwanamke mrembo kuliko wote Tanzania

    Ugonile.. Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu] Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa...
  15. Waufukweni

    Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

    Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar. Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
  16. Waufukweni

    Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  17. BARD AI

    Kikwete kuzindua albam mpya ya Ommy Dimpoz

    Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo "Tuna-launch rasmi album na itakuwa weekend ndefu kidogo kwa sababu tutaanzia hapa Johari Rotana, itakuwa invitees only...
  18. K

    Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  19. Chacha Steven Mokiri

    Ommy Dimpoz amkana baba yake

    Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu. Full story ipo hapa:
  20. mama D

    Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
Back
Top Bottom