ofisi

  1. S

    DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  2. Kaka yake shetani

    Mikeka 100 yaibiwa ofisi za Bakwata mkoa wa Kigoma

    KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5. Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
  3. Sifi Leo

    Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  4. N

    Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  5. Wizara ya Ardhi

    Watunza kumbukumbu watakiwa kuwa waaminifu na kutunza siri za ofisi

    Watumishi wa Kada ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka serikalini wametakiwa kuwa waaminifu, kutunza siri za ofisi na kuendelea kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ili kutekeleza majukumu yao kwa weledi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  6. C-C Digital Pro

    CIVILIAN-COIN NALIMI KISANDU (Civilian-Coin) amewasilisha ofisi za NIDA-Kahama(Shinyanga) Nyaraka rasmi za kubadili jina

    Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni Deedpol ya kiapo Cha mahakama ya Wilaya Kahama, affidavit of signature, Gazeti la Serikali la...
  7. MakinikiA

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  8. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  9. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa na ofisi Shule ya Msingi Mkwajuni - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
  10. M

    Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida...
  11. Roving Journalist

    Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  12. H

    Chomete akabidhi tofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 05 Septemba, 2026 amekabidhi tofali elfu moja (1,000) kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa wa Chomete, Kata ya Sabasaba katika Halmashauri ya Mji wa Tarime, Mkoani Mara. Tofali hizo zimekabidhiwa na Mhe. Dorice...
  13. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri ya Bahi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga kuboresha mazingira ya utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi. Akiwasilisha taarifa...
  14. O

    DOKEZO Manispaa ya Kahama, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilango hakuna ofisi ya Kijiji

    Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa. Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
  15. Pdidy

    MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  16. G

    Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  17. Mshana Jr

    Fahamu kwanini baadhi ya ofisi hupendelea kuweka maua ya asili

    Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii hufanya kazi kama chujio la asili kwa kufyonza kemikali zenye sumu zinazotoka kwenye rangi, samani, na...
  18. A

    KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  19. Ex Spy

    Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  20. A

    KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
Back
Top Bottom